Kamwe miti ya matunda ya kisasa haiwezi lingana na ya asili iwe utamu au kuzaliana

Rangi ya ndani tunda lake zipo za aina ngapi. Si ni mbili tu? Sasa Yale yalio na nyekundu ndani sijapata Radha mimi
Nenda google andika the red Giant pawpaw hili papai ni tamu kulki tena jekundu sana kwa ndani na lima mafasi (kashimo) kadogo sana wengine huita carina papaya kama sijakosea
 
Ni tofauti na haya yaliojazana Sokoni . Ambayo ni ya miche mifupi?
Kwa mbegu za kisasa wengi wana red royal (nadhani ndo unaisemea wewe)
kuna malikia f1 nk
Haya sio matamu sana. ukipta nililo kuambia hutakuja kusahu kwanza ni kubwa sana yaani shape ni refu halafu ni gumu hata likidondoka halitepeti. Ndani kama nilivyosema pia mbegu ni chache sana ni kawaida kukuta mbegu si zaidi ya 20 ama zikazidi kulingana na ukubwa mengine unaweza usikute mbegu hata moja.

Kuna mbegu za kienyeji sema kwa sasa zimepotea papai kubwa halafu tamu mno na lina sifa zote
 
Kuna la mbegu ya kienyeji ambalo ndani ni jekundu?
 
Nina mparachichi wa kisasa hapa kwangu (maparachichi yake yanakua kama na vipele vipele kwa nje) umezaa tangu mwaka jana ila matunda hayakomai zaidi ya mwaka sasa. Hata nikiyachuma hayaivi! Tatizo ni nini?
Bado hayajakomaa mpaka sasa?
Hili ni ajabu
 
Back
Top Bottom