Kamwe: Simba ijifunze Kwa Yanga jinsi ya kumchapa Mwarabu

Kamwe: Simba ijifunze Kwa Yanga jinsi ya kumchapa Mwarabu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Afisa habari mkuu wa mabingwa mara 28 wa tanzania na mabingwa watarajiwa wa kombe la shirikisho Africa Ali kamwe amenukuriwa akiwataka Simba Kwa vile unapata ugumu kushinda mbele ya waarabu basi suluhisho limepatikana. wanatakiwa kujifunza Kwa yanga.

Nini Simba wafanye?
Kwa kuwa muda umeisha Simba inabidi wa download mechi za Yanga alizocheza na waarabu then waingie class kupiga kitabu.

Kama itakuwa ngumu basi wasisite kumuomba professor nabi aje awape notes na madini jinsi ya kimfunga mwarabu especially mechi yenu na Raja.

NB: Simba tumieni chance hii, waarabu wanafungika.

IMG-20230219-WA0004.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kamwee bhanaaa, anapenda kuwafanya utopoloo wawe mazuzu.

Simba ilishachapa waarabu tena wakubwa, Zamalek, Al Ahly, sasa yeye anaongelea waarabu wepii? Au koko wa kariakoo??

Mxxxxiiiiieeeew
Msije sema hatukuwaambia [emoji23]
 
Sisi Simba tumeamua tucheze mpira na kusema kwa vitendo n kuachana na hizi comedy.

Uzuri huyo alieongea anajua dhahiri kabisa kama anachekesha ila kwasababu anajua mafuasi wa team yake ni watu wa aina gani basi anaamuankwa makusudi kujichetua.

Hakuna team siyo Tanzania bali East Africa hii yenye history ya "kuwakanda" waarabu kama Simba na hao waarabu wenye majina makubwa kwelikweli, Simba alishamvua bingwa mtetezi Zamalek, hapa kwa Mkapa alishawatamdika wengi mno hata hawahesabiki kwakweli kwa uchache tu, Ismailia, JS Soura, Berkane, Al Alhy na wengine wengi mno.

Siku zote asie na kitu ndy hujitutumua ili aonekane ana kitu. Maana sasa hv wanahangaika kutengenezea viji record uchwara ilimradi tu waonekane na wao wapo juu. Huwa najiuliza hii team wangechaguliwa kushiriki Super cup tungekunywa hata maji kweli?
 
Back
Top Bottom