Kamwe: Simba ijifunze Kwa Yanga jinsi ya kumchapa Mwarabu

Sisi Simba tumeamua tucheze mpira na kusema kwa vitendo n kuachana na hizi comedy.

Uzuri huyo alieongea anajua dhahiri kabisa kama anachekesha ila kwasababu anajua mafuasi wa team yake ni watu wa aina gani basi anaamuankwa makusudi kujichetua.

Hakuna team siyo Tanzania bali East Africa hii yenye history ya "kuwakanda" waarabu kama Simba na hao waarabu wenye majina makubwa kwelikweli, Simba alishamvua bingwa mtetezi Zamalek, hapa kwa Mkapa alishawatamdika wengi mno hata hawahesabiki kwakweli kwa uchache tu, Ismailia, JS Soura, Berkane, Al Alhy na wengine wengi mno.

Siku zote asie na kitu ndy hujitutumua ili aonekane ana kitu. Maana sasa hv wanahangaika kutengenezea viji record uchwara ilimradi tu waonekane na wao wapo juu. Huwa najiuliza hii team wangechaguliwa kushiriki Super cup tungekunywa hata maji kweli?
Mkuu ili mpira uende lazima vitu hivi vitokee
 
Aliwashindwa Al Hilal ya Sudan hapoooo, leo atatuambia nn tenaaa??? Khaaaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ibenge ni moto mwingine ww
 
Kwa kuwa muda umeisha Simba inabidi wa download mechi za Yanga alizocheza na waarabu then waingie class kupiga kitabu.
Ijifunze kitu gani kwa hawa?

1679384913362.png
 
Kamwe kipindi Simba inawazabua Almereickh,Zamaleck,Al ahly,Ismailia alikua bado yupo kijijini anachunga ng'ombe,hajui masikini hajui kabisa msimlaumu.
 
Haras El hodood alipiga Tano,Al ahly shandy alipiga Tano,Al ahly Cairo hizo Tano Tano hazihesabiki,achilia mbali enyimba kishatumbukiza goli 17 mkiani
Anajadiliwa Kamwe hapa.Hizo tano-tano piga nazo picha uweke sebuleni kwa mjomba wako.
 
Sisi Simba tumeamua tucheze mpira na kusema kwa vitendo n kuachana na hizi comedy.

Uzuri huyo alieongea anajua dhahiri kabisa kama anachekesha ila kwasababu anajua mafuasi wa team yake ni watu wa aina gani basi anaamuankwa makusudi kujichetua.

Hakuna team siyo Tanzania bali East Africa hii yenye history ya "kuwakanda" waarabu kama Simba na hao waarabu wenye majina makubwa kwelikweli, Simba alishamvua bingwa mtetezi Zamalek, hapa kwa Mkapa alishawatamdika wengi mno hata hawahesabiki kwakweli kwa uchache tu, Ismailia, JS Soura, Berkane, Al Alhy na wengine wengi mno.

Siku zote asie na kitu ndy hujitutumua ili aonekane ana kitu. Maana sasa hv wanahangaika kutengenezea viji record uchwara ilimradi tu waonekane na wao wapo juu. Huwa najiuliza hii team wangechaguliwa kushiriki Super cup tungekunywa hata maji kweli?
Mm ni shabiki wa Simba ila kusema kweli tuna la kujifunza toka Yanga, sisi tumewafunga waarabu huku kwetu tu lkn hatujawahi kumfunga muarabu akiwa nyumbani kwao.
 
Mwanasimba unaejitambua
 
Afisa habari mkuu wa mabingwa mara 28 wa tanzania na mabingwa watarajiwa wa kombe la shirikisho Africa Ali kamwe amenukuriwa akiwataka Simba Kwa vile unapata ugumu kushinda mbele ya waarabu basi suluhisho limepatikana. wanatakiwa kujifunza Kwa yanga.

Nini Simba wafanye?
Kwa kuwa muda umeisha Simba inabidi wa download mechi za Yanga alizocheza na waarabu then waingie class kupiga kitabu.

Kama itakuwa ngumu basi wasisite kumuomba professor nabi aje awape notes na madini jinsi ya kimfunga mwarabu especially mechi yenu na Raja.

NB: Simba tumieni chance hii, waarabu wanafungika.

Wanaitwa Chura FC; na sifa ya Chura ni maji. Siku hiyo uwanja ulikuwa madimbwi

Pili waarabu haohao waliwafunga Yanga 2, kwenye Kiwanja cha carpet. Kwa hiyo ngoma droo;
 
Back
Top Bottom