Kamwe: Simba ijifunze Kwa Yanga jinsi ya kumchapa Mwarabu

Waarabu wa ligi ya waliofeli!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwambie awaulize Al ahaly kwa mkapa! Je Yanga angetoboa?
 
Simba waliwafunga Mehalla Al Kubra ya Misri akiwa hajazaliwa.Mwaka 1974 kwenye nusu fainali ya klabu bingwa ya Afrika.Huyu gongowazi mwenzake pia alikuwa hajazaliwa.
 
Simba amesha wapiga waarabu mara nyingi. Baada ya kumtoa Zamalek bingwa mtetezi 2003 ndio marehemu mzee mkapa akafikiria kujenga uwanja wa taifa (Benjamin mkapa stadium). Simba amefanya mengi Kuliko timu zingine hapa Tanzania.
 
Mwarabu atakayecheza na Simba ni wydad au experience, Tanga alicheza na club African na monssti, sijuinkama msemaje anazijua vizuri rank za hii timu nne za kiarab
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kamwee bhanaaa, anapenda kuwafanya utopoloo wawe mazuzu.

Simba ilishachapa waarabu tena wakubwa, Zamalek, Al Ahly, sasa yeye anaongelea waarabu wepii? Au koko wa kariakoo?

Mxxxxiiiiieeeew
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] itakuwa kashtuka nanna Raja walimaliza pakiti kwa Mkapa afu mnapaswa kuwafuta "geto".

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Al ahly walikuwa wazungu kipindi kile wanafungwa na simba
 
Huyo Kamwe amezaliwa mwaka gani?Anafurahisha sana.Huwa ndiyo anaandika hivyo?Furaha isiyo kifani kumfundisha mnyamwezi au mnyaturu kula mlenda.
Wakati hajazaliwa Raja ilimfunga Yanga 6;0
na wakaburuza mkia na ndo kipindi yanga ilikuwa inaonekana ina wachezaji wazoefu kama Anwar awadh, Sekilojo chambua,Bakari malima "jembe ulaya, silvatus Ibrahim polisi, nk waliambulia point 2 tuu
Utoto raha sana
 
Taifa raja alikufa 3....0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…