Kamwe: Ushindi wa Simba ni sawa na ushindi wa mke wa Hakimi

3516FDEE-5D5E-4E45-8227-AB0D7CCF1B35.jpeg
 
Mbumbumbu tunaridhika kilofa sana.

Si tulikubaliana Kocha atayeifunga Yanga ndiye hatafukuzwa Simba FC wala si kuleta kombe lolote pale Msimbazi sababu Professor Nabi kafukuzisha Makocha zaidi ya watatu na Simba hakuwahi kuifunga Yanga TZ PL tangu 2019?

Tuendelee kuchukua makombe ya kuifunga Yanga FC na kuwa wasindikizaji bora wa CAF Club Champions league hadi maji tuite mma.

• Head to head Makolokolo Vs Yanga, Yanga FC Dume/Baba lao (kashinda mechi nyingi zaidi).

• TZ PL trophies, Yanga FC Dume/Baba lao (kabeba mara nyingi zaidi).

• Simba = Underdog kwa Yanga anayejitutumua tu.

[emoji115] CHUNGU LAKINI NI DAWA (UKWELI).
Hzi ni kelele za Vyura kama kawaida
Miamba ya soka iko champions league
Hamjulikani kwny ramani..losers
😎 😎 😎
 
Mbumbumbu tunaridhika kilofa sana.

Si tulikubaliana Kocha atayeifunga Yanga ndiye hatafukuzwa Simba FC wala si kuleta kombe lolote pale Msimbazi sababu Professor Nabi kafukuzisha Makocha zaidi ya watatu na Simba hakuwahi kuifunga Yanga TZ PL tangu 2019?

Tuendelee kuchukua makombe ya kuifunga Yanga FC na kuwa wasindikizaji bora wa CAF Club Champions league hadi maji tuite mma.

• Head to head Makolokolo Vs Yanga, Yanga FC Dume/Baba lao (kashinda mechi nyingi zaidi).

• TZ PL trophies, Yanga FC Dume/Baba lao (kabeba mara nyingi zaidi).

• Simba = Underdog kwa Yanga anayejitutumua tu.

[emoji115] CHUNGU LAKINI NI DAWA (UKWELI).
Ndo mnavyojifariji baada ya kukandwa na mume wenu mnyama
 
Back
Top Bottom