Kamwe: Ushindi wa Simba ni sawa na ushindi wa mke wa Hakimi

Kamwe: Ushindi wa Simba ni sawa na ushindi wa mke wa Hakimi

Mbumbumbu tunaridhika kilofa sana.

Si tulikubaliana Kocha atayeifunga Yanga ndiye hatafukuzwa Simba FC wala si kuleta kombe lolote pale Msimbazi sababu Professor Nabi kafukuzisha Makocha zaidi ya watatu na Simba hakuwahi kuifunga Yanga TZ PL tangu 2019?

Tuendelee kuchukua makombe ya kuifunga Yanga FC na kuwa wasindikizaji bora wa CAF Club Champions league hadi maji tuite mma.

• Head to head Makolokolo Vs Yanga, Yanga FC Dume/Baba lao (kashinda mechi nyingi zaidi).

• TZ PL trophies, Yanga FC Dume/Baba lao (kabeba mara nyingi zaidi).

• Simba = Underdog kwa Yanga anayejitutumua tu.

[emoji115] CHUNGU LAKINI NI DAWA (UKWELI).
Copy & paste toka kipindi mnyama anabeba kombe misimu minne mfululizo ushindi kombe lenu ilikuwa kumfunga simba tuu huku hamshiriki chochote kimataifa.

Simba bado yupo kwenye mbio za ubingwa league, FA na CAFCC. Wacha kujitoa ufahamu uto.
 
Ipi hiyo? Sikuweka ahadi ya pesa
Okay, nimeitafuta na kuipata. Si wewe uliyeweka na fedha juu, ila ni utopolo mwenzako KAGAME mliokula ban pamoja na kusamehewa

Kwa kikosi cha Makolo nilichoona Yanga akifungwa leo yaan YANGA apoteze point tatu leo nipigwe BAN ya Mwaka mzima na faini ya milion moja.

1681667572202-png.2590295
........
1681667413094-png.2590293
 
Copy & paste toka kipindi mnyama anabeba kombe misimu minne mfululizo ushindi kombe lenu ilikuwa kumfunga simba tuu huku hamshiriki chochote kimataifa.

Simba bado yupo kwenye mbio za ubingwa league, FA na CAFCC. Wacha kujitoa ufahamu uto.
Safari yenu imeishia Kwa wydadi
 
Back
Top Bottom