Kibu afukuzwe nchini .....
Hapana nipo mkuu imesogezwa mbele 😂Umerudi mkuu......nlijua ushapewa life ban[emoji23][emoji23]
Acha kabisa mkuu mpaka sasa simu zinaita za tamboMakolo waliloga sana
soma iyoooooo!😂😅👇Ndo Nini mkuu
Mbumbumbu tunaridhika kilofa sana.
Si tulikubaliana Kocha atayeifunga Yanga ndiye hatafukuzwa Simba FC wala si kuleta kombe lolote pale Msimbazi sababu Professor Nabi kafukuzisha Makocha zaidi ya watatu na Simba hakuwahi kuifunga Yanga TZ PL tangu 2019?
Tuendelee kuchukua makombe ya kuifunga Yanga FC na kuwa wasindikizaji bora wa CAF Club Champions league hadi maji tuite mma.
• Head to head Makolokolo Vs Yanga, Yanga FC Dume/Baba lao (kashinda mechi nyingi zaidi).
• TZ PL trophies, Yanga FC Dume/Baba lao (kabeba mara nyingi zaidi).
• Simba = Underdog kwa Yanga anayejitutumua tu.
[emoji115] CHUNGU LAKINI NI DAWA (UKWELI).
Imagine heshima inaharibiwa na kibu denis ambae huwa anaanguka anguka tu. What a shame.Bado diara ana heshima yake mzee
Ila TULIWAKANDA.Mbumbumbu tunaridhika kilofa sana.
Si tulikubaliana Kocha atayeifunga Yanga ndiye hatafukuzwa Simba FC wala si kuleta kombe lolote pale Msimbazi sababu Professor Nabi kafukuzisha Makocha zaidi ya watatu na Simba hakuwahi kuifunga Yanga TZ PL tangu 2019?
Tuendelee kuchukua makombe ya kuifunga Yanga FC na kuwa wasindikizaji bora wa CAF Club Champions league hadi maji tuite mma.
• Head to head Makolokolo Vs Yanga, Yanga FC Dume/Baba lao (kashinda mechi nyingi zaidi).
• TZ PL trophies, Yanga FC Dume/Baba lao (kabeba mara nyingi zaidi).
• Simba = Underdog kwa Yanga anayejitutumua tu.
[emoji115] CHUNGU LAKINI NI DAWA (UKWELI).
KIBU MTOMBANGILEAnaitwa Kibu Mkandaji
Awapi mkuu ....tunabeba ubingwa ....no stressDah maiti wa Jumapili kafufuka.Mdomo na ngebe zimewaponza.Haji pamoja na uchizi wake kawaambia ukweli kwamba yeye huwa anajificha chooni mkishinda ndio anatokeza kushangilia. Juzi hata JF uliiona chungu.
Diarra mpaka sasa Haji anadai anaweweseka kwenye ndoto akisikia Kibu D basi anainuka na kubinuka.