Kamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia

Weee acha tu sema hujampata anaye kunika barabara ikakubali mbona utakubali tu muwe hata sita! Na bado ukipewa inaita. Me hana ujanja kunako papuchi hata mfanyeje ukikuta videmu vya mjini vinavyojua kuitumia utakaa chini cha msingi labda usionje. Au jihanithi.
 
Aisee mm kabla ya kuoa nilikiwa na mwanamke alinipenda sana japo mm nilikuwa simpendi nilimfanyia kila aina ya visa ili aniache lkn yule mwanamke alikuwa hayupo tayari kuachana na mm nilimtukana matusi ya kila aina lakini wapi akutaka achana na mimi yule dada alinipenda mno niliahama mji apo ndo nilifanikiwa kuachana nae ila baada ya miaka 15 alikuja kunitafuta nikamwambia ninamke nawatoto 7 aisee akuhamini bado akawa anaendelea nipenda tuu yy kwa sasa ana mtoto mmoja tuu kiukweli kuna wanawake wanapenda bhana ukibahatika kuwapata sema ndo ivo kila mtu na moyo wake.

Now tuna mahusiano ila ya kuficha sana mana namuheshimu wife wangu akijua kama nachepuka pia nae ajaolewa kiukweli ananipenda sana... ningekuwa muislam ningemuoa mke wa pili ila sema mm mkeistu ndo basi tena uwa nsmuombea apate mume amuoe siku akija kuolewa nitafurahi sana aiseee ila all in all huyu mwanamke kuniacha ni ishu awezi.
 
Wit njoo tuzungumze Mimi Ni loyal sana na appreciate women from the bottom to the top yaaani unaweza niita Mr commitment [emoji14][emoji1]
 
Bado najiuliuza inawezekanaje kupenda mwanamke zaidi ya mmoja?
Nikipenda mwingine lazima wakwanza ajue simpendi tena maana upendo unahama labda kinafki tu ila Kama yuko makini lazima atambue nina mwanamke mwingine
This is me broh! Yaani huwa najiulizaga. INAWEZEKANAJE coz huwa siwezagi kabisa kupretend kwenye relationship.
 
Kuna wanawake wanajua kungangania aisee... Nishawahi mpata mmoja yapata miaka 6 sasa ananiambia ananipenda baada ya miaka minne tulipoteana...ila nimekutana nae juzi bado tu ananipenda..sijui anatka kuninyonya damu huyu[emoji26][emoji26]
 
Ukiachwa Achika
Hakikisha Akienda Huko Akikuta Magumu
Kamwe Usimpe Nafasi Hata Ya Mia
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Kuna wanawake wanajua kungangania aisee... Nishawahi mpata mmoja yapata miaka 6 sasa ananiambia ananipenda baada ya miaka minne tulipoteana...ila nimekutana nae juzi bado tu ananipenda..sijui anatka kuninyonya damu huyu[emoji26][emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi kuna mwingine kipindi cha nyuma alibadilika lakini tulipoongea alielewa na tunaenda poa wakuu kuna shida?
 
Dah pole sana mkuu, Huyo mtu saivi yupo wapi hamna dhara lolote lililo mpata Karma haikumtafuna kweli?
 
Hili la kuwaza kwa pamoja sijui huwa kuna connection gani tu mkipendana, yani unasikia moyo unafurukuta kutaka kumtafuta fulani lakin kbl haujafanya unashitukia simu inainga😄.

Hii huwa inakuja pale mkiependa sana na kuendana kwa kila kitu, nashuru Mungu nipo nae mpaka sasa na yeye ndie aliyeoza vibaya kwangu. Nampenda sana.
 
Mmh ila hata mi sioni kuwa ni sawa
Kwann unikumbushie wakati unatuma pesa?
Haijakaa sawa,japo tunatofautiana uelewa
 
Basi huyo hakupendi!
 
Bado najiuliuza inawezekanaje kupenda mwanamke zaidi ya mmoja?
Nikipenda mwingine lazima wakwanza ajue simpendi tena maana upendo unahama labda kinafki tu ila Kama yuko makini lazima atambue nina mwanamke mwingine
Uko sahihi kabisa!
I sielewi ambao wana wanawake 3 na kuendelea?
 

Kuna mtu alisema hakikisha hata kama unampenda mwanamke vipi usionyeshe kupita kiasi, ili awe hajui kama unampenda kiasi gani... hawa wakishajua umekufa umeoza wanakuona zoba.... sasa hata wewe jiulize kuku yuko bandani manati ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…