Kamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia

Kamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia

Weee acha tu sema hujampata anaye kunika barabara ikakubali mbona utakubali tu muwe hata sita! Na bado ukipewa inaita. Me hana ujanja kunako papuchi hata mfanyeje ukikuta videmu vya mjini vinavyojua kuitumia utakaa chini cha msingi labda usionje. Au jihanithi.
 
Aisee mm kabla ya kuoa nilikiwa na mwanamke alinipenda sana japo mm nilikuwa simpendi nilimfanyia kila aina ya visa ili aniache lkn yule mwanamke alikuwa hayupo tayari kuachana na mm nilimtukana matusi ya kila aina lakini wapi akutaka achana na mimi yule dada alinipenda mno niliahama mji apo ndo nilifanikiwa kuachana nae ila baada ya miaka 15 alikuja kunitafuta nikamwambia ninamke nawatoto 7 aisee akuhamini bado akawa anaendelea nipenda tuu yy kwa sasa ana mtoto mmoja tuu kiukweli kuna wanawake wanapenda bhana ukibahatika kuwapata sema ndo ivo kila mtu na moyo wake.

Now tuna mahusiano ila ya kuficha sana mana namuheshimu wife wangu akijua kama nachepuka pia nae ajaolewa kiukweli ananipenda sana... ningekuwa muislam ningemuoa mke wa pili ila sema mm mkeistu ndo basi tena uwa nsmuombea apate mume amuoe siku akija kuolewa nitafurahi sana aiseee ila all in all huyu mwanamke kuniacha ni ishu awezi.
 
Nikwambie kitu mkuu, mi simkimbiagi mwanaume eti kisa hana hela, najua kuna kesho

Sasa ngoja yy mwanaume apate vijihela, yaan ni anaibuka na mijitabia ambayo hapo awali hakuwa navyo, anaibua ugomvi ili tu mgombane apate kisingizio, sasa kama ni mshamba wa wanaume unaweza kunywa sumu..

Mimi nikshaona hizi tabia huwa nakwambia kabisa oyaa umebadilika jirekebishe hii dunia haiendi hivyo hivyo vihela vitaisha, kama kawaida huwa hamsikii, Basi anaenda kwa hao wapya waliozuzuka na vihela vyake, vikiisha wanampiga kibuti, hapo sasa kabaki na kendee tatu ndo ananikumbuka mimi wit, kitu ambacho na mimi ntamfanyia lazima atanikumbuka mpaka anaingia kaburini maninaa, mfyuuu zenu[emoji57]
Wit njoo tuzungumze Mimi Ni loyal sana na appreciate women from the bottom to the top yaaani unaweza niita Mr commitment [emoji14][emoji1]
 
Bado najiuliuza inawezekanaje kupenda mwanamke zaidi ya mmoja?
Nikipenda mwingine lazima wakwanza ajue simpendi tena maana upendo unahama labda kinafki tu ila Kama yuko makini lazima atambue nina mwanamke mwingine
This is me broh! Yaani huwa najiulizaga. INAWEZEKANAJE coz huwa siwezagi kabisa kupretend kwenye relationship.
 
Aisee mm kabla ya kuoa nilikiwa na mwanamke alinipenda sana japo mm nilikuwa simpendi nilimfanyia kila aina ya visa ili aniache lkn yule mwanamke alikuwa hayupo tayari kuachana na mm nilimtukana matusi ya kila aina lakini wapi akutaka achana na mimi yule dada alinipenda mno niliahama mji apo ndo nilifanikiwa kuachana nae ila baada ya miaka 15 alikuja kunitafuta nikamwambia ninamke nawatoto 7 aisee akuhamini bado akawa anaendelea nipenda tuu yy kwa sasa ana mtoto mmoja tuu kiukweli kuna wanawake wanapenda bhana ukibahatika kuwapata sema ndo ivo kila mtu na moyo wake....now tuna mahusiano ila ya kuficha sana mana namuheshimu wife wangu akijua kama nachepuka pia nae ajaolewa....kiukweli ananipenda sana... ningekuwa muislam ningemuoa mke wa pili ila sema mm mkeistu ndo basi tena uwa nsmuombea apate mume amuoe siku akija kuolewa nitafurahi sana aiseee.......ila all in all huyu mwanamke kuniacha ni ishu awezi...
Kuna wanawake wanajua kungangania aisee... Nishawahi mpata mmoja yapata miaka 6 sasa ananiambia ananipenda baada ya miaka minne tulipoteana...ila nimekutana nae juzi bado tu ananipenda..sijui anatka kuninyonya damu huyu[emoji26][emoji26]
 
Ulichokiongea ni sahihi shida huwa inakuja huwa ni moyo..... Usipoweza kuzisimamia hisia zako lazima uwe zoba,

Kama mwanaume unapaswa kujipiga kifua na maisha kuendelea, usiruhusu kusikiliza ya upande wa pili.. wala kuletswa story zake

Unapoamua kumuacha hakikisha kuwa umejiridhisha kuwa unasababu ya kumuacha
Ukiachwa Achika
Hakikisha Akienda Huko Akikuta Magumu
Kamwe Usimpe Nafasi Hata Ya Mia
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Kuna wanawake wanajua kungangania aisee... Nishawahi mpata mmoja yapata miaka 6 sasa ananiambia ananipenda baada ya miaka minne tulipoteana...ila nimekutana nae juzi bado tu ananipenda..sijui anatka kuninyonya damu huyu[emoji26][emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi kuna mwingine kipindi cha nyuma alibadilika lakini tulipoongea alielewa na tunaenda poa wakuu kuna shida?
 
Siwezi kubisha mkuu maana ukitafuta sababu ya mtu kubadilika hakika huipati yaani kuna mwanamke anaingia kwenye maisha yako na wewe unaingia kwenye yake unahisi huyu ndio perfect fit yaani mnashibana kuanzia mawazo fikra mpaka hisia yaani sometimes umeshika simu unataka upige labda hamja ongea siku nzima unashangaa na yeye anapiga yaani unaona mnawaza mamoja.
Yaani kunaupendo flani sio wa kinafiki unauhusi kati yenu.
Huyu kiumbe aliondoka kwenye maisha yangu lakini hakika nilimpenda hatupo pamoja tena ila namuombeaga kwa Mungu tu.
Ukisema ni mizimu naweza kukubali maana yalifunjika gafla bin vuu japo nilimuomba zaidi ya miezi 4 bila mafanikio yeyote maana mwanzo nilisihi ni upepo tu
Dah pole sana mkuu, Huyo mtu saivi yupo wapi hamna dhara lolote lililo mpata Karma haikumtafuna kweli?
 
Siwezi kubisha mkuu maana ukitafuta sababu ya mtu kubadilika hakika huipati yaani kuna mwanamke anaingia kwenye maisha yako na wewe unaingia kwenye yake unahisi huyu ndio perfect fit yaani mnashibana kuanzia mawazo fikra mpaka hisia yaani sometimes umeshika simu unataka upige labda hamja ongea siku nzima unashangaa na yeye anapiga yaani unaona mnawaza mamoja.
Yaani kunaupendo flani sio wa kinafiki unauhusi kati yenu.
Huyu kiumbe aliondoka kwenye maisha yangu lakini hakika nilimpenda hatupo pamoja tena ila namuombeaga kwa Mungu tu.
Ukisema ni mizimu naweza kukubali maana yalifunjika gafla bin vuu japo nilimuomba zaidi ya miezi 4 bila mafanikio yeyote maana mwanzo nilisihi ni upepo tu
Hili la kuwaza kwa pamoja sijui huwa kuna connection gani tu mkipendana, yani unasikia moyo unafurukuta kutaka kumtafuta fulani lakin kbl haujafanya unashitukia simu inainga😄.

Hii huwa inakuja pale mkiependa sana na kuendana kwa kila kitu, nashuru Mungu nipo nae mpaka sasa na yeye ndie aliyeoza vibaya kwangu. Nampenda sana.
 
Mimi alinifokea kwasababu nilimtumia hela baada ya yeye kusema anahitaji pesa then nikamkumbusha namhitaji nna miezi miwili sijala mzigo.

Aliponikasirikia (eti tatizo namkumbusha wakati gani, inakuwa kama tunauziana kitu) ndio nikashtuka kumbe hapa sina mwanamke anymore.
Mmh ila hata mi sioni kuwa ni sawa
Kwann unikumbushie wakati unatuma pesa?
Haijakaa sawa,japo tunatofautiana uelewa
 
Ukikumbusha katika mazingira tofauti unapata response rahisi sana yani isiyo na mashiko na mtu haonyeshi kushtuka wala kutake effort. Unakumbusha mara mbili tatu huoni change yoyote. Mtu anatimba geto akiwa period or sick. Unaendelea kuwa mpenzi mtazamaji. Ongezea na vidharau vidogo vya hapa na pale na ukosefu wa respect & kauli nzuri (big problem) lazima ujidouble check: kaniona boya au la?

That was a test and the result was a definite positive. Angalau hela niliyotuma (wallahi nyingi) ilinisave from a life of misery maana niliwake up kwakweli.
Basi huyo hakupendi!
 
Bado najiuliuza inawezekanaje kupenda mwanamke zaidi ya mmoja?
Nikipenda mwingine lazima wakwanza ajue simpendi tena maana upendo unahama labda kinafki tu ila Kama yuko makini lazima atambue nina mwanamke mwingine
Uko sahihi kabisa!
I sielewi ambao wana wanawake 3 na kuendelea?
 
Mimi kwa kwelii kipindi mwanamke wangu kuna mambo matatu nilikuwa najitahidi kuyafanya ili nisimpoteze mpenzi wangu

1. Nilijitahidi sana kufanya mambo yote anayoyataka yeye ili moyo wake uridhike

2. Nilijitahidi kuonyesha moyo wangu unampenda, nilijitoa kwake ili nisimpoteze

3. Nikimkosea kidogo najitahidi kuomba msamaha

Ila mwisho wa game nilianza kujiona mjinga kwani dharau zilizidi hatari ilifikia hatua hata mimi na yeye kuongozana barabarani njia moja hataki kila mtu atembee kivyake kama hatujuani.

Siku ambayo nakuja kufanya maamuzi magumu ya kuanza kujitoa kwenye penzi lake ni baada ya kupewa story chini ya kapeti mwanamke wangu anatafuta Chumba ajee kuhama kimya kimya hapo ndo nilipogundua sipedwiiiii

Kuna mtu alisema hakikisha hata kama unampenda mwanamke vipi usionyeshe kupita kiasi, ili awe hajui kama unampenda kiasi gani... hawa wakishajua umekufa umeoza wanakuona zoba.... sasa hata wewe jiulize kuku yuko bandani manati ya nini?
 
Back
Top Bottom