Kamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia

Hiyo ipo ki - spiritual zaidi sio lazima awe mpenzi , inasadikika kwamba roho huwa zinafanya connection
 
Jibu rahisi ni kwamba,
Mademu wana options nyingi ambapo mwanaume wa kawaida hana, mwanamke kupata mwanaume ni rahisi lakini kwa mwanaume kupata demu hasa demu anayemtaka ni ishu, kwa maana ni lazima huyo demu akubali kwanza, ...
Nmependa hpo ulipoutambua uwepo wa wanaume wenye vipaji maalum[emoji2]
 
Mimi na ubahili wangu huu wa kipare mwanamke anaekula pesa yangu anapata wapi ujasiri wa kunifoke nitafute pesa kwa shida wewe kula pesa tu nikubembeleze ukiona mapicha picha piga chini tafuta mwanamke mwingine atakae kula pesa yako kwa adabu
 
Wengine wana mashetani eg me alekuwa mchumba angu baada ya kukamilisha taratibu zote alinibadilkia ghafla nilienda kwa wazazi wake na kwa nduguze karibu wote wale muhimu yaani ankos shangazis brothers friends lakini alikaidi kabisa na akawa hanitaki yaani hapo nimemfungulia biashara hela kwenye akaunti siyo nyingi ila kwa kiasi flani zinatosha lakini wapi.

Ghafla akaolewa na mtu mwingine jamani maumivu yale yasije rudi tena nilipoona hivyo nikapiga moyo konde nikatulia kama mwaka hivi akarejeshwa nyumbani tabia mbofu cha ajabu akaja kwangu ati yupo tayari kurudiana na mimi shetani tu alipita nilimlia wa mbuzi sikumjibu hata kumwangali nikafunga mlango wa nyumba nikasepa.
Kesho yake akaja na shangazi yake na rafiki akke flani ati wamwkuja kumwombea msamaha kuwa turudiane kwani tulikuwa tunapendana kweli kweli sikuongea nao chochote wakaongea muda wote sijibu siitikii wala sitikisi kichwa.

Baadaye nikapata mdada mwingine nikaoa hadi leo ninae plus three children sasa yeye kila akiolewa hamalizi miezi sita anapigwa talaka na taarifa zilizopo keshaolewa na watu 7.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo ana mapepo aiseee
 
Kuna mmoja aliniletea hizo piga nijampigia simu nikamuambia sikutaki tena akanijibu poa . Baada ya mwezi akanitafuta tena eti nimsamehe nikamblock
 
Ngoma bado mbichi,,, ndio kwanza Safari inaanza,, abiria hakikisheni mmechimba dawa...

Mapenzi ni ugonjwa wa akili,,,,nikisoma Comment humu wengi wanazungumzia kupona,, na ili upone means ulikuwa unaumwa...

Kwenye Maisha,, nadharia/Stori za kusadikika za mitandaoni huwa ni tofauti sana na uhalisia wa maisha... Vitu wanavyoaminishwa watu kuwa vikifanyika ndio mapenzi huwa ni tofauti sana na uhalisia ndio maana Wazungu walipokutana na wahaya wakasema "Nice guys finish last"

Mwanaume Jipende,, usiruhusu hisia zikuendeshe,, Wote mlioumizwa nafikiri sasa mmejua hili,, Wewe kwanza, wengine baadae...
 
Yes mkuu Akili inanguvu kubwa sana katika kupambanua mambo na kutuepusha na majanga ya aina mbalimbali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mwendo was kuachwa tyuuuh


Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Huu ushauri ni wa kabla au baada ya ndoa.!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…