Kamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia

Nina mwanamke nimedumu nae kwa miaka 3 sasa na katikati hapo tulikuwa kwenye penzi zito sana. Ndani ya 2022 kuanzia mwezi wa 3 ameamua kufunga vioo nami nikafunga vioo tena na kuniblock kabisa ili nisiwe namsumbua. Akijua nitaumia sana [emoji28] ajabu yeye ndio anarudi tena kulalamika aisee mbona sikuelewi unajua nina hasira na wewe ndio maana unaona hivyo. Nikamjibu wewe endelea na jamaa yako wala sina habari unanitafuta baada ya jamaa kusafiri ili nikusaidie nini?
 

Nimesoma comments zote ila hii imenibd ni reply. Bro nakazia KUJITENGA NA MTU UNAYEMPENDA NI ZAID YA MAUMIVU UNAYOWEZA KUHADITHIA.

Nimejifunza kumsahau na kuishi bila ya yeye n she still knw that kuwa nampenda na naumia kumuona akiwa n mwanaume mwengn haikuw rahisi kuacha hata kumjulia hali yule kiumbe thanks god nimejifunza more than one year nw n still haikuwah rahs kupita siku bila kutaja jina lake. Mungu akubariki huko ulipo n nimekusameh kwa moyo wng wote. [emoji28]

Na umenifanya nije na uzi kumuacha mwnamke aliyenipenda kwa dhati. Bado sijakutana wakufanana n ww mbwaaa. [emoji23]
 
Fanya maamuzi magumu kwa kutumia ubongo.
Kumbuka ubongo hauna nyama tofauti na moyo wenye damu na nyama.
 
Fanya maamuzi magumu kwa kutumia ubongo.
Kumbuka ubongo hauna nyama tofauti na moyo wenye damu na nyama.
Raha ya kuishi kwa amani baada ya kuachana na X wako ni kumfanya kuwa rafiki kwa muda.
ukiliwezq hilo moyo wa kupenda penda Mitoto ya watu inakupungua km si kukutokA.maisha yenyewe mafupi mno,tusileteane makwazo kwa kweli
 
Only legends will understand [emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]
 

Ukauzu wetu wanaume,ndo udhaifu wetu mkuu,ni kama umeumia afu hutaki kuonekana unalia lia ila moyoni unajua unavuja damu.
 
Hiyo mbussusu sii ilishaku mlepweto 🤣🤣🤣🤣🤣
 

Mkuu mi huwa naamini kitu kimojakwenye mahusiano nmejiwekea notion kuwa hata kama now ananipenda iko siku atabadilika tu,so huwa namtumia tu kuhusu mapenzi HAPANA.
 
Kha roho mbaya nyie wananwake...sasa akiwa anagegeda nje huko na unajua sii umuache tuu wee usepe zako.
 
ukijipenda kwanza kabla yakupenda mwengine, alafu ukitambua kila mtu ana mama yake na zaliwa mwenyewe na utazikwa mwenyewe sidhanikama itakuumiza kichwa. usipende kumtegemea mwanadamu utaangamia juaa kila mtu ni temporary hata mama hufariki pengine na maisha yakaendelea
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ungekulaa alafu kimyaaa
 
Nilikuwa na mmoja alinishika sana akili na mwili tukio la kwanza akadanganywa na mchungaji wake mchungaji kanipigia cm anadai n mke wake baada ya muda akaomba msamaha tukio la pili akarudi tena kwa mchungaji wake then akaomba msamaha nikampokea hapo tulikuwa mapenzi tu hatukai pamoja.nikamfungulia biashara baada ya kuanza kukaa pamoja akashindwa kuendesha kwa kwa siri akatafuta chumba lkn tukaliongea likaisha

Nikaanza kumtoa akilini kumbe alishakuwa na ujauzito wangu wakati huohuo na mm nilishaanza kuwa na mbadala wake ambaye pia alikuwa mjamzito.Walipojuana ukaanza ugomvi kati yao sasa nyumban tulipopanga kukawa hakuna hakuna Amani ugomvi wa mara kwa mara. Tumepigana Mara tatu hadi nikaona sasa tutafanyiana ubaya nikaona nimwachie baadhi vitu alipokuwa nmesafr niendeleze maisha na mbadala wake

Natunga tu mtoto sasa maisha yanasonga nipo na mbadala wake ambaye yupo vzr kuchwani sana kichwani
 
I can feel your pain mkuu
 
Inaweza kuwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…