Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Nina mwanamke nimedumu nae kwa miaka 3 sasa na katikati hapo tulikuwa kwenye penzi zito sana. Ndani ya 2022 kuanzia mwezi wa 3 ameamua kufunga vioo nami nikafunga vioo tena na kuniblock kabisa ili nisiwe namsumbua. Akijua nitaumia sana [emoji28] ajabu yeye ndio anarudi tena kulalamika aisee mbona sikuelewi unajua nina hasira na wewe ndio maana unaona hivyo. Nikamjibu wewe endelea na jamaa yako wala sina habari unanitafuta baada ya jamaa kusafiri ili nikusaidie nini?