Very true waweza kuwa nao 1000 Ila Kuna yule mmoja kwake hupumua na huyo akikuumiza utakomaHata ungekuwa nao 100 kwa wakati mmoja, lazima kuna mmoja tu ambaye jicho lako na moyo wako vitakuwa kwake na ndio huyo akikutenda sasa lazima utapetape kama mfa maji
Poa za kwakoMambo mrembo..?
Hahaha haya mambo jamani, we upo unaomba msamaha daily unakula blue ticks kesho huchoki upo tena, unajitahidi kujishusha kumbe unampandisha mwenzio ego zake anajikuta yeye ndiyo yeye.Yes brother na hapo ndipo nilipokosea
Yaani nilivyojifanya mzee wa kuomba msamaha
Mzeee wa upendo kumbe ndo nazidi kumpa moto wa kuniona mimi boya
Nzuri tu mamii.. nimehamu kulitomasa pindo lako!.. niyafute machozi yako mrembo,umenitia kiu cha kutaka kuyafariji majonzi yako!.. naomba usiwe mchoyo wa fadhira ikakushika hasira nikakukosa cariha!.. nataka niutangazie umma nimekupata mrembo usiekuwa na mapengo!,asiemtovu wa mienendo bali mkarimu wa matendo na mpole kwa upendo..Poa za kwako
Hahaaa jamani haya maneno matamu yamenipa Hadi usingizi na nikasinzia kabisaNzuri tu mamii.. nimehamu kulitomasa pindo lako!.. niyafute machozi yako mrembo,umenitia kiu cha kutaka kuyafariji majonzi yako!.. naomba usiwe mchoyo wa fadhira ikakushika hasira nikakukosa cariha!.. nataka niutangazie umma nimekupata mrembo usiekuwa na mapengo!,asiemtovu wa mienendo bali mkarimu wa matendo na mpole kwa upendo..
Wasemaje mpenzi..[emoji6]
Nikwambie kitu mkuu, mi simkimbiagi mwanaume eti kisa hana hela, najua kuna kesho
Sasa ngoja yy mwanaume apate vijihela, yaan ni anaibuka na mijitabia ambayo hapo awali hakuwa navyo, anaibua ugomvi ili tu mgombane apate kisingizio, sasa kama ni mshamba wa wanaume unaweza kunywa sumu..
Mimi nikshaona hizi tabia huwa nakwambia kabisa oyaa umebadilika jirekebishe hii dunia haiendi hivyo hivyo vihela vitaisha, kama kawaida huwa hamsikii, Basi anaenda kwa hao wapya waliozuzuka na vihela vyake, vikiisha wanampiga kibuti, hapo sasa kabaki na kendee tatu ndo ananikumbuka mimi wit, kitu ambacho na mimi ntamfanyia lazima atanikumbuka mpaka anaingia kaburini maninaa, mfyuuu zenu[emoji57]
Ndio unipe nafasi ili nikutoe kashkash.. sema ndio nikufute kilio mrembo.. kwako nitatulia utasahau kulia!Hahaaa jamani haya maneno matamu yamenipa Hadi usingizi na nikasinzia kabisa
Mimi kwa kwelii kipindi mwanamke wangu kuna mambo matatu nilikuwa najitahidi kuyafanya ili nisimpoteze mpenzi wangu
1.Nilijitahidi sana kufanya mambo yote anayoyataka yeye ili moyo wake uridhike
2.Nilijitahidi kuonyesha moyo wangu unampenda Nilijitoa kwake ili nisimpoteze
3.Nikimkosea kidogo najitahidi kuomba msamaha
Ila mwisho wa game nilianza kujiona mjinga kwani dharau zilizidi hatari ilifikia hatua hata mimi na yeye kuongozana barabarani njia moja hataki kila mtu atembee kivyake kama hatujuani
Siku ambayo nakuja kufanya maamuzi magumu ya kuanza kujitoa kwenye penzi lake ni baada ya kupewa story chini ya kapeti mwanamke wangu anatafuta Chumba ajee kuhama kimya kimya hapo ndo nilipogundua sipedwiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23] Yani wewe kenzyNdio unipe nafasi ili nikutoe kashkash.. sema ndio nikufute kilio mrembo.. kwako nitatulia utasahau kulia!
Nalitaka neno lako ili niyaenzi mapenzi yako, na hakika sintotoka kwako nitakiapa na kiapo..
Sema Basi mama..
Nalisubiri jibu lako ili niuhamishie Moyo wangu kwako.. we ndo mwenye funguo ya furaha ndani mwako.. niruhusu nije kwako nikupe utakacho.. uamuzi upo kwako wa kuijaza furaha ndani kwako..😉[emoji23][emoji23][emoji23] Yani wewe kenzy
[emoji23][emoji23][emoji23]nimependa shairi lakoNalisubiri jibu lako ili niuhamishie Moyo wangu kwako.. we ndo mwenye funguo ya furaha ndani mwako.. niruhusu nije kwako nikupe utakacho.. uamuzi upo kwako wa kuijaza furaha ndani kwako..[emoji6]
Mi ntakusubiri hata ukitia shubiri Tena ntakulinda kwa siri ila tu kipenzi usiwe mkatili..
Ila hujapenda niwe wako,si ndivyo..??[emoji23][emoji23][emoji23]nimependa shairi lako
Hahahahah kwahio kumbe wewe hata mwanaume asiye na hela unadate nae tu huna shida? 😂😂😂Nikwambie kitu mkuu, mi simkimbiagi mwanaume eti kisa hana hela, najua kuna kesho
Sasa ngoja yy mwanaume apate vijihela, yaan ni anaibuka na mijitabia ambayo hapo awali hakuwa navyo, anaibua ugomvi ili tu mgombane apate kisingizio, sasa kama ni mshamba wa wanaume unaweza kunywa sumu..
Mimi nikshaona hizi tabia huwa nakwambia kabisa oyaa umebadilika jirekebishe hii dunia haiendi hivyo hivyo vihela vitaisha, kama kawaida huwa hamsikii, Basi anaenda kwa hao wapya waliozuzuka na vihela vyake, vikiisha wanampiga kibuti, hapo sasa kabaki na kendee tatu ndo ananikumbuka mimi wit, kitu ambacho na mimi ntamfanyia lazima atanikumbuka mpaka anaingia kaburini maninaa, mfyuuu zenu[emoji57]
Usicheke huenda me na wewe ni next![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimepona kwa kweliiii
Tena pale ulipopenda Mazima!!Kuumizwa hisia kusikie tu