Nikwambie kitu mkuu, mi simkimbiagi mwanaume eti kisa hana hela, najua kuna kesho
Sasa ngoja yy mwanaume apate vijihela, yaan ni anaibuka na mijitabia ambayo hapo awali hakuwa navyo, anaibua ugomvi ili tu mgombane apate kisingizio, sasa kama ni mshamba wa wanaume unaweza kunywa sumu..
Mimi nikshaona hizi tabia huwa nakwambia kabisa oyaa umebadilika jirekebishe hii dunia haiendi hivyo hivyo vihela vitaisha, kama kawaida huwa hamsikii, Basi anaenda kwa hao wapya waliozuzuka na vihela vyake, vikiisha wanampiga kibuti, hapo sasa kabaki na kendee tatu ndo ananikumbuka mimi wit, kitu ambacho na mimi ntamfanyia lazima atanikumbuka mpaka anaingia kaburini maninaa, mfyuuu zenu[emoji57]