Kamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia

Usiombe kuingia kwenye hizo anga ndugu utatamani dunia ishuke.
Kuna mpuuzi mmoja nilimpenda akaja na kamsemo 'I want to be alone" sijui nimekuwa emotional dependant na bla bla kibao ukumbuke tuko kwenye mahusiano zaidi ya 2 years aisee nilihisi kuugua roho, mwili nafsi hadi akili.
Hadi nilifunga na kuomba shetani amuondoke lakini wapi sijui alikutana na vichaa gani wakamtapeli. Anyway nimejifunza wanawake wanaathirika sana na ushauri wa marafiki zao
Nilimuacha aende kwa shingo upande baada ya kufanya kila ninaloliweza kumbembeleza nashukuru Mungu nimekuwa sawa tena na nimepata chuma kipya maumivu nimeyasahau ila amini nakuambia kujitenga na mtu unayempenda ni zaidi ya maumivu unayoweza kuhadithia
Never ever trust A woman hata huyu mpya uwe makini usiende 100% hao watu wanabadilike ndani ya siku moja......
 
wanawake mpaka sasa sijui wanataka nini hawana jema,kampeni yao ni kututawala ukionyesha msimamo lazima ugomvi utokee
 
From my POV wanawake hasa yule anayekupenda huwa wanachukia mwanaume wake amtumie hela then unakumbushia sex it's like you are buying goods from me....Jaribu kukumbushia katika mazingira ambayo hayahusiani or hayatakuwa associated na pesa.Okay may be kuchukia is a strong word the right one is irritation

Nawewe kama mtu wako unampenda inakuwaje mpaka ukumbushwe?mbona kuomba hela husubiri jamaa akukumbuke mwenyewe unaomba?ukijua una mpenzi jua una jukumu la kutoa hiyo huduma maana ndio jukumu lako mama usisubiri ukumbushwe wakat unapewa pesa uwe irritated,weka utaratibu wa kujipeleka mwenyewe weekend ukaliwe
 
Miaka ya nyuma, wakati nasoma O-level niliwahi kuwa na girl fulani kimapenzi. Kwakweli alikuwa ni mzuri, hii ilinifanya nivimbe Sana.
Mahusiano yetu yalikuwa vizuri kuanzia form one hadi form four, baada ya matokeo ya kidato Cha nne kutoka, Mimi nilikuwa nimefaulu, Ila yeye alifeli, basi Mimi nilienda advance yeye alibaki kitaa.

Hiyo haikuleta shida yeyote kwenye mapenzi yetu, wakati namalizia muhula wa mwisho form six, akanipa taarifa kuwa anaenda chuo Cha mipango DODOMA, Daaah, yaani alibadilika hata sikuamini aiseeh, unampigia hapokei na hakutafuti mpaka nimtafute mimi, akikosea anataka mimi ndo ninyenyekee kwake wakati namweleza, Mara status ambazo hazieleweki, mara picha akiwa kwenye ndinga kali.
Aiseeh niliumia sana,nilikuwa na mawazo muda wote, Ilinifanya nishindwe hata kuzingatia masomo yangu, Combie yenyewe ilikuwa Ni ngumu(PCB).Baadae niliamua kuachana nae, akamaliza hako ka course kake, akarudi kitaa, maisha yakampiga, jamaa wakampiga mimba bila kumuoa. Huwa nikimuona namsikitikia Sana.

Nilimpenda Sana, na hata sasa bado nampenda Sana tu, na sidhani kama nitakuja kupenda mwanamke mwingine kama jinsi ilivyo kwake,Ila ndoivyo siwezi kuwa nae, ingawa anaonyeha kila namna ya kujutia yake aliyonifanyia.Acha ibaki historia.
 
Mmmmmmhmn okay ngoja nikupe simple formula ya kudeal wanawake mdogo wangu ili usije umia tena au kuoata shida kumuelewa anaekuja.

Kanuni ya kudeal n wanawake ni ya kale kama zama za mawe huwa kinachobadilika ni mazingira ila hawa viumbe ni wale wale hawabadiliki asili.

Wanawake wanaoperate opportunistically. Yaani ni wazee wa fursa kujipatia mahitaji yao ya kimwili (material things) na kiakili (emotional desires).

Katika zama zote haya ni mambo wanawake ndio yamewaleta kwa wanaume hakuna la ziada. MUNGU alipooumba huu ulimwengu alikuwa anatengeneza balance ya hizi vitu. Hiyo tamaa ya hivi vitu aliyowekewa mwanamke ndio inafanya mwanaume kutafuta kwa bidii sana ili tu apate kile kitu kinachotamaniwa na yeye (mwanaume) baada ya kuchochewa na ule udhaifu MUNGU kaweka ndani yake.

Mwanaume kama mnyama ni sehemu ya mazingira ambayo anaplay part kubwa ya kucontrol mazingira na kuongeza uzazi wake. Katika kuongeza uzazi wake ndipo yeye na mwanamke wanaanza mahusiano. Ndio maana pia uwa mwanamke atasema mimi wanaume mbwa, sijui sina shida ya mwanaume ila mwisho wa siku atafungua miguu yake mwanaume amkamulie tui apate watoto ndio ujue kuwa union ya mwanamke na mwanaume ni kitu natural.

So tukirejea katika mada, mwanamke anachotaka kwako ni guarantee ya kupata yale mahitaji yake na akisha yapata basi muda huo huo akili itamwambia abakie na wewe.... Imapotokea umefeli kumpa hayo mahitaji utaona anaanza visa vya kukutibua ili umkasirikie apate sababu ya kwenda pengine.

Wewe leo hii nenda hata kwa mke wa mtu aliyepo katika ndoa ya miaka 10,anza tu kumpa vitu au mambo mume wake anaemtunza kwa miaka 10 hawezi mpa kwasasa kutokana na mazoea utaona namna utaamsha hisia za huyu mwanamke kiasi kwamba afike wakati atakwambia yupo tayari kumuacha mume wake wa miaka 10 awe na wewe.

So unachotakiwa katika haya maisha kama mtoto wa kiume ni kutazama nini unaweza mpatia mtoto wa kike ili hata ukiishi nae uweze mpatia muda wote mkiwa pamoja asijubadilikie akafuata mwingine.....

Na wakati huo na wewe umulekeze kupata mahitaji yako ya msingi kama ujenzi wa familia na kusimamia shughuli za kibiashara.
 
Uzuri mmoja wanawake wanakuwa wajinga sana kwenye uchaguzi , namaanisha kwenye kuchagua wenza . Unaweza ukampenda ukampa kila kitu mpaka usafiri chakushangaza akamdhamini dereva bajaj kuliko wewe , ndio maana mapenzi yangekuwa utajiri Africa tungekuwa namba moja . Ila chamsingi HAKUNA MWANAUME AU MWANAMKE ALIYESHINDANA NA MAPENZI AKASHINDA TOKA DUNIA IANZE MPKA KESHO.

USHAURI KWA WOTE: Tulia na ulie nae mjenge maisha na maendeleo hakuna bigwa wa hizo pigo na hatawahi kutokea .
Umemaanisha Kumdhamini au kumthamini
 
Mimi alisema nimetoka mchana hiyo akiwa amelala eti sikumuaga ndiyo kikawa kisa akaondoka nakuniacha na watoto wadogo , nasema wanawake na walaaniwe
Ina maana na mama yako na dada yako na mdogo wako wa kike pia?!
 
Usiombe kuingia kwenye hizo anga ndugu utatamani dunia ishuke.
Kuna mpuuzi mmoja nilimpenda akaja na kamsemo 'I want to be alone" sijui nimekuwa emotional dependant na bla bla kibao ukumbuke tuko kwenye mahusiano zaidi ya 2 years aisee nilihisi kuugua roho, mwili nafsi hadi akili.
Hadi nilifunga na kuomba shetani amuondoke lakini wapi sijui alikutana na vichaa gani wakamtapeli. Anyway nimejifunza wanawake wanaathirika sana na ushauri wa marafiki zao
Nilimuacha aende kwa shingo upande baada ya kufanya kila ninaloliweza kumbembeleza nashukuru Mungu nimekuwa sawa tena na nimepata chuma kipya maumivu nimeyasahau ila amini nakuambia kujitenga na mtu unayempenda ni zaidi ya maumivu unayoweza kuhadithia
Ni ugonjwa wa akili kufanya maamuzi yatayomuumiza mwenzako halafu uone anaumia usijali uone kama anaigiza au ana act tu kuumia yaani haujali.

Mtu akifanya hivyo huwa sitaki kabisa kitu kinaitwa msamaha wala kuombeana mema huko aendako. Huwa ninapray for there collapse and total failure.....

I believe in this sababu wanawake watatu ambao hawakuwa fair na mimi now hawapo vizuri wanapitia matatizo sana na wamenitafuta.... Huwa wanavyoteseka naingiwa na huruma ila nasema finally i get my revenge.
 
Mimi kwa kwelii kipindi mwanamke wangu kuna mambo matatu nilikuwa najitahidi kuyafanya ili nisimpoteze mpenzi wangu

1.Nilijitahidi sana kufanya mambo yote anayoyataka yeye ili moyo wake uridhike

2.Nilijitahidi kuonyesha moyo wangu unampenda Nilijitoa kwake ili nisimpoteze

3.Nikimkosea kidogo najitahidi kuomba msamaha

Ila mwisho wa game nilianza kujiona mjinga kwani dharau zilizidi hatari ilifikia hatua hata mimi na yeye kuongozana barabarani njia moja hataki kila mtu atembee kivyake kama hatujuani

Siku ambayo nakuja kufanya maamuzi magumu ya kuanza kujitoa kwenye penzi lake ni baada ya kupewa story chini ya kapeti mwanamke wangu anatafuta Chumba ajee kuhama kimya kimya hapo ndo nilipogundua sipedwiiiii
Yaaani hayo mambo matatu yote ni uboya mtupu mkuu......hauwezi kubaki salama ukimuonyesha mwanamke hizo tabia hapo juu
 
Mmmmmmhmn okay ngoja nikupe simple formula ya kudeal wanawake mdogo wangu ili usije umia tena au kuoata shida kumuelewa anaekuja.

Kanuni ya kudeal n wanawake ni ya kale kama zama za mawe huwa kinachobadilika ni mazingira ila hawa viumbe ni wale wale hawabadiliki asili.

Wanawake wanaoperate opportunistically. Yaani ni wazee wa fursa kujipatia mahitaji yao ya kimwili (material things) na kiakili (emotional desires).

Katika zama zote haya ni mambo wanawake ndio yamewaleta kwa wanaume hakuna la ziada. MUNGU alipooumba huu ulimwengu alikuwa anatengeneza balance ya hizi vitu. Hiyo tamaa ya hivi vitu aliyowekewa mwanamke ndio inafanya mwanaume kutafuta kwa bidii sana ili tu apate kile kitu kinachotamaniwa na yeye (mwanaume) baada ya kuchochewa na ule udhaifu MUNGU kaweka ndani yake.

Mwanaume kama mnyama ni sehemu ya mazingira ambayo anaplay part kubwa ya kucontrol mazingira na kuongeza uzazi wake. Katika kuongeza uzazi wake ndipo yeye na mwanamke wanaanza mahusiano. Ndio maana pia uwa mwanamke atasema mimi wanaume mbwa, sijui sina shida ya mwanaume ila mwisho wa siku atafungua miguu yake mwanaume amkamulie tui apate watoto ndio ujue kuwa union ya mwanamke na mwanaume ni kitu natural.

So tukirejea katika mada, mwanamke anachotaka kwako ni guarantee ya kupata yale mahitaji yake na akisha yapata basi muda huo huo akili itamwambia abakie na wewe.... Imapotokea umefeli kumpa hayo mahitaji utaona anaanza visa vya kukutibua ili umkasirikie apate sababu ya kwenda pengine.

Wewe leo hii nenda hata kwa mke wa mtu aliyepo katika ndoa ya miaka 10,anza tu kumpa vitu au mambo mume wake anaemtunza kwa miaka 10 hawezi mpa kwasasa kutokana na mazoea utaona namna utaamsha hisia za huyu mwanamke kiasi kwamba afike wakati atakwambia yupo tayari kumuacha mume wake wa miaka 10 awe na wewe.

So unachotakiwa katika haya maisha kama mtoto wa kiume ni kutazama nini unaweza mpatia mtoto wa kike ili hata ukiishi nae uweze mpatia muda wote mkiwa pamoja asijubadilikie akafuata mwingine.....

Na wakati huo na wewe umulekeze kupata mahitaji yako ya msingi kama ujenzi wa familia na kusimamia shughuli za kibiashara.
Nimekuelewa sana. Japo Sasa imekuwa marudio maana baada ya kuachwa kwenye mataa ndio nilirudi kwenye drawing board kujua nimekosea wapi hapo nikakutana na mafundisho ya wataalam Kama Dr. Myles Munroe, Pastor Chris, Pastor Sam adeyemi, Danstan Maboya na wengine wengi maana nilipotea kabisa. Hakika nimejifunza hii kanuni ya asili ambayo sikuitambua kabla na imekua msaada sana kwangu hata nimeacha kabisa kuwalaumu wanawake maana nimegundua tatizo sio wao bali ni asili inayoendesha ulimwengu huu. Bado nawaza ningejuaje haya bila sekeseke lile hivyo nabaki kumshukuru Mungu kwa yote.
Yule nabaki kumuombea sababu alifanya jambo ambalo limebadilisha maisha yangu kabisa sio kiakili tu hata kiuchumi maana nimetambua na kuamini kanuni ya mwanaume kuishi ni kumiliki hivyo nimeelekeza nguvu zangu kutafuta na kinyume chake imekua furaha ya kweli kwenye maisha yangu.
 
Mimi kwa kwelii kipindi mwanamke wangu kuna mambo matatu nilikuwa najitahidi kuyafanya ili nisimpoteze mpenzi wangu

1.Nilijitahidi sana kufanya mambo yote anayoyataka yeye ili moyo wake uridhike

2.Nilijitahidi kuonyesha moyo wangu unampenda Nilijitoa kwake ili nisimpoteze

3.Nikimkosea kidogo najitahidi kuomba msamaha

Ila mwisho wa game nilianza kujiona mjinga kwani dharau zilizidi hatari ilifikia hatua hata mimi na yeye kuongozana barabarani njia moja hataki kila mtu atembee kivyake kama hatujuani

Siku ambayo nakuja kufanya maamuzi magumu ya kuanza kujitoa kwenye penzi lake ni baada ya kupewa story chini ya kapeti mwanamke wangu anatafuta Chumba ajee kuhama kimya kimya hapo ndo nilipogundua sipedwiiiii
Jamani pole sana
 
Wangu kasepa kaenda kupanga wakati mi niko mbali kwenye lockdown ya zaidi ya miezi mitano!! Alibadili mpaka namba,wiki 2 zilizopita ameanza kunicheki ili niongee na dogo ila hanitaki tena. Maumivu yake sio mchezo
 
Back
Top Bottom