Kamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia

Kamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia

Fair enough, I am aware of that too ila it won't stop me from ranting as long as we keep it civil and anonymous.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]feel free to rant we social media relatives are more than willing to help and listen to you
 
Bado najiuliuza inawezekanaje kupenda mwanamke zaidi ya mmoja?
Nikipenda mwingine lazima wakwanza ajue simpendi tena maana upendo unahama labda kinafki tu ila Kama yuko makini lazima atambue nina mwanamke mwingine
Simahanishi kuwa uyo wa kwanza hutompenda kabisa la asha unakuwa japo na wawili so inapotokea emergency yoyote basi aina budi moyo wako kuuamishia kwa uyo mrembo mwingine

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Naomba nikupe pole na nikupongeze pia.
Lakini kimsingi, huu usia unaowapa vijana wenzako ni mgumu sana kuuelewa ikiwa bado hawaja pitia kilicho kutokea.
Changamoto ulioipitia kitaalamu tunaiita ni hatua ya ukomavu kwenye mahusiano, na hapa ulipo leo ni moja ya funzo ulilolipitia kwenye changamoto ile.
Kwamaana nyepesi ni kwamba usijute kwasababu tayari umepiga hatua, na pengine ilikua upitie hili ili upate kujifunza kisha leo uwe hapo ulipo.
 
Wee ndio umeongea point...cha msingi nikiwa na warembo watatu. Akizingua mmoja una sehemu ya kujipoza
Ndio ivyo mkuu mimi ndivyo nilivyokuwa nilikuwa nina videmu kama vitatu hivi na vyote nilikuwa navielewa ila nashukuru sikuwai kutendwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo huko hakuna free will ni mapambio 24/7 so hata huo mwili mpya utakaopewa sio wa matumizi yako binafsi....

Huu ndio unaufaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Saa zingine unalindwa na Mizimu ya kwenu, maana inakua imeshaona huko mbele utakuja kuumizwa vibaya sana ndiyo maana inaingilaia kati japo itauma lakini tayari imesha kulinda!! Labda ungepewa Mimba ambayo siyo yako! Yote hayo huwezi jua!!
Siwezi kubisha mkuu maana ukitafuta sababu ya mtu kubadilika hakika huipati yaani kuna mwanamke anaingia kwenye maisha yako na wewe unaingia kwenye yake unahisi huyu ndio perfect fit yaani mnashibana kuanzia mawazo fikra mpaka hisia yaani sometimes umeshika simu unataka upige labda hamja ongea siku nzima unashangaa na yeye anapiga yaani unaona mnawaza mamoja.
Yaani kunaupendo flani sio wa kinafiki unauhusi kati yenu.
Huyu kiumbe aliondoka kwenye maisha yangu lakini hakika nilimpenda hatupo pamoja tena ila namuombeaga kwa Mungu tu.
Ukisema ni mizimu naweza kukubali maana yalifunjika gafla bin vuu japo nilimuomba zaidi ya miezi 4 bila mafanikio yeyote maana mwanzo nilisihi ni upepo tu
 
Kuna muda naona kabisa akili yangu iko sahihi ila mpaka leo sijui kwanini nasikiliza moyo wangu zaidi.Nadhani muda mwingine sio Kama hatujui kuhusu hawa viumbe ila unakuta una sababu 99 za kumuacha lakini bado unatafuta 1 tu ya kubaki nae.
Binafsi ningekuwa natumia akili pekee kuamua masuala yote yanayonihusu,hasa mapenzi nisingewahi umia hata.
 
Ndio tuvumilie mbinguni tutapewa mwili mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwili ni kibali cha kuishi duniani ndio maana ukifa unauacha hapa duniani hakuna sehemu nyingine tena mwili unatumika.
Mashetani na majini hata Mungu ni roho ndio maana ili waje duniani lazima waingie kwenye mwili wa mtu.
Mfano Kristu alivaa mwili wa Yesu ndio akapata kibali kufanya kazi zake hapa duniani, Mapepo/majini hutafuta mwili wa mtu wamvae ili watende kazi zao hapa duniani. Huu mwili unasiri kubwa natamani nieleze hapa siku moja
 
Kuna muda naona kabisa akili yangu iko sahihi ila mpaka leo sijui kwanini nasikiliza moyo wangu zaidi.Nadhani muda mwingine sio Kama hatujui kuhusu hawa viumbe ila unakuta una sababu 99 za kumuacha lakini bado unatafuta 1 tu ya kubaki nae.
Binafsi ningekuwa natumia akili pekee kuamua masuala yote yanayonihusu,hasa mapenzi nisingewahi umia hata.
Na kakichwa ka chini kanachangia pia. Moyo na diki ni maadui wa maaumizi ya msingi kwenye mapenzi.
 
Mwili ni kibali cha kuishi duniani ndio maana ukifa unauacha hapa duniani hakuna sehemu nyingine tena mwili unatumika.
Mashetani na majini hata Mungu ni roho ndio maana ili waje duniani lazima waingie kwenye mwili wa mtu.
Mfano Kristu alivaa mwili wa Yesu ndio akapata kibali kufanya kazi zake hapa duniani, Mapepo/majini hutafuta mwili wa mtu wamvae ili watende kazi zao hapa duniani. Huu mwili unasiri kubwa natamani nieleze hapa siku moja
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hao wadudu hawajuagi nini wanataka na kwa wakati gani amini mwanamke ukimfanyie mambo mazuri hasa hawa wanaochipukia utazaraurik mpk ujute ila ukiishianao kibabebabe mixer kuumizaumiza moya yn ili mradi tu huwa wanatulia sn km unabisha jaribu utaona kuna mmoja nilishimpendaga sn akaleta pigo hizo nilitusi htr then nikavunga bada ya mwezi alirudi analia full kunisumbua
 
Mimi kwa kwelii kipindi mwanamke wangu kuna mambo matatu nilikuwa najitahidi kuyafanya ili nisimpoteze mpenzi wangu

1.Nilijitahidi sana kufanya mambo yote anayoyataka yeye ili moyo wake uridhike

2.Nilijitahidi kuonyesha moyo wangu unampenda Nilijitoa kwake ili nisimpoteze

3.Nikimkosea kidogo najitahidi kuomba msamaha

Ila mwisho wa game nilianza kujiona mjinga kwani dharau zilizidi hatari ilifikia hatua hata mimi na yeye kuongozana barabarani njia moja hataki kila mtu atembee kivyake kama hatujuani

Siku ambayo nakuja kufanya maamuzi magumu ya kuanza kujitoa kwenye penzi lake ni baada ya kupewa story chini ya kapeti mwanamke wangu anatafuta Chumba ajee kuhama kimya kimya hapo ndo nilipogundua sipedwiiiii

Yote Tisa, papuchi ulipewa? C Programming
 
Hata ungekuwa nao 100 kwa wakati mmoja, lazima kuna mmoja tu ambaye jicho lako na moyo wako vitakuwa kwake na ndio huyo akikutenda sasa lazima utapetape kama mfa maji

Hamna kitu kama hicho bwana ....hiyo ni mentality ya wale ambao wanaamini kwenye mapenzi sie wengine wanawake ni madurudani tuu ya kuwagegeda basi.

Ukiwa hivyo wala hutapata shida.
 
Back
Top Bottom