Tieli
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 651
- 1,515
Hata ungekuwa nao 100 kwa wakati mmoja, lazima kuna mmoja tu ambaye jicho lako na moyo wako vitakuwa kwake na ndio huyo akikutenda sasa lazima utapetape kama mfa majiWee ndio umeongea point...cha msingi nikiwa na warembo watatu. Akizingua mmoja una sehemu ya kujipoza