Kamwe! Usikate tamaa!

Kama ni wakipuuzi kwann umtukane si ukae kimya???

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni wakipuuzi kwann umtukane si ukae kimya???

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mimi ninaendelea na kazi ile ile ya mwanzo Hadi leo hii. Ila kwenye biashara mungu ameniinua kwa kiasi nimefungua na branch hivyo mimi kwa sasa nasave 50k kwa siku na mke wangu anasave 35k kwa siku,
Kazini pia napokea mshahara kila mwezi.


Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyoo una akiba ya million mbili kwa mwezii na unafanya kazi ya mshahara wa laki au teseme laki tatu bado wafanya??bila shakaa utakua ni kiongoz kwenye taasisis furani Kuna kitu wafaidi nje ya mshahara.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni chai imechanganywa natangawizi
 
Asante sana,
 
So unahisi anakudanganya ili apate faida gani

Unamjua huyu jamaa wote hatumjui
. Nadhani tungejikita kwenye theme ya message ya jamaa kutokata tamaa mengine tumwachie yeye na mungu wake
Anaonekana mshari
Tumuache
 
Kuna chochote utapungukiwa ikiwa utapita na Imani yako? Unaonekana una kasirika bila sababu
Kwan umelazimishwa kuamini!?
We ni kiongozi wa familia kweli?
 
Fundi chetehani
Ususi
Urembo
Cherehan
Upishi
Hivi vyote
Ada yake haizidi laki 3 kwa kozi nzima
 
Hapana mkuu Mimi Sina maslahi mengine Ila tu Nina eshimiana na bosi na naheshimu nilikotoka kazi yangu
Ni kweli silipwi tena hicho kiasi kwa kuwa nimefanya kazi mda mrefu Sasa nachopewa ni mshahara wa 4.7k Ila ni a service charge kila tarehe 15 ya kila mwezi ya makadirio ya 120k-149k na nauli ya 3000 kila siku
Ni hayo tu
 
Acha uongo yaani uingize 50000 uendelee kufanya kazi kwa mtu labda serikalini ukiwa unasubili kiinua mgongo
 
Uvumilivu na amani ya moyo ndiyo nguzo , keep it up-kila la kheri brother.
 
Acha uongo yaani uingize 50000 uendelee kufanya kazi kwa mtu labda serikalini ukiwa unasubili kiinua mgongo
Hata nikiwa naingiza 200k kwa siku naweza kuendelea kufanya kazi
Hiyo kiinua mgongo hata Mimi nakuja tegemea kwa kuwa ninakatwa kila mwezi 47000 na boss ananiweke47000=94000 kila mwezi
Kwa hiyo inategemea kama nimeweza kufikia hapa nikiwa na kazi siini sababu ya kuacha kazi labda nikiongeza but ashara ya aina nyingine itakayohitaji uwepo wangu kwa asilimia kubwa, lengo kabla nifike miaka 40 niwe na uwezekano wa kutengeneza 300k kwa siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…