Mtuturas
JF-Expert Member
- Apr 18, 2017
- 456
- 867
😅😅😅amenishangaza kweli yani daa.wakati Kuna masela jioni ikiwadia vizuri milioni yake hi hapa kilaini tuu.kikubwa isitokee ajali nahata ikitokea sio gari zote😅😅
huyo mshamba haamini
Milioni tu Kwa siku,
Kuna vijana wapo pale Kkoo wanaingiza zaidi ya million 30 Kwa siku na wametokea ku hustle vibaya.
Sio kama story ya huyu boya .
Story haina hata content.
Nimemuuliza tu mbona hujaeleza umetoka bush ya wapi ukaenda mji gani. Kashindwa kujibu eti atajulikana.
Haya nikamuuliza umefungua biashara gani? Kashindwa kutaja.
Huyo dogo ni mmoja ya watu wanaowapa vijana hope za uwongo eti wawe wavumilivu sijui nini sijui katumwa na wanasiasa.
Maisha ni hustling and discipline tu