Kamwe Usimuamini Mwanamke

Pia usimwamini mwanamme na binadamu kadhalika
 
Mke wangu namuachia 240m anaitunza na nakula kila kitu kipo sawa. Siyo fahari kila siku kuwa na mada za kuwadunisha wanawake. Ni mama zetu hawa mbali na kuwa wake zetu. Tusitunge tuu vistori vya kuvutia audience tupate comments bali tujifunze kupanda mbegu njema. Huu mwenendo unahamasisha ubaya na hatimaye ukatili dhidi ya wanawake.
 
Tulia dawa iwakolee, waache waongee negatively tu 🤣🤣
 
Huwezi kukaa na mwanamke miaka 4 kwa uzuri kabisa ,ukitimiza mahitaji yako ka isemavyo biblia ,then akuibie 1.5 ,mwanaume ndio tatizo na amepata alichostahili! Wanawake ninwavumilivu sana Kama kaamua kumuibia something is wrong somewhere.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Kwani mama yako ni mwanaume nawe ni mwanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…