Kamwe Usimuamini Mwanamke

ATM Card mwisho 1m kwa siku ilikuwaje hapo ?? Au hii ni bingo movie ?
 
Eeeh na huyo mwanamke ulimuuliza au ndo ulikaa kusikiliza upande mmoja.
 
1.5m? tuacheni wanawake jamani, ela ndogo ivo uyo ni mdokozi na iyo tabia mumewe anaijua em tuacheni! tusiaminike kisa mpuuzi aliedokoa 1.5m?
 
Binti wa kukimbia na 1.5M tena akiwa ameolewa ni kimeo plus,maana zitaisha kesho asbh tu kwenye vipodozi
 
Namba yako siri ni siri yako, wewe unajitia wehu kwenda kumpa mpita njia tu mliekutana from nowhere na kuunganisha vikojoleo, ...anyway ashukuru kiasi alichopigwa kinahimilika japo pesa ni pesa tu
 
Huwezi kuhitimisha kwa kusema wanawake si wa kuamini kisa kuna hela imetolewa na mwanamke hajulikani alipo. Labda useme huyo jamaa ni wewe
 
Hakuna mwanamke hapa duniani wa kumwamini hata huyo mama Ako anajibaraguza tu lakini jicho la babako liko makini nae,na kingine kama HAWA ndo alikua mshenzi kwa Adam kabla utandawazi haujafika itakua demu wako, karumbembe mlokutana ukubwani.....take care
 
Haya maisha hata mama yako usimwamimi. Sisi wengine washatupiga matukio hadi unachukia kwanini ulikuja duniani. Mama anataka skupangie uishi na nani usiishi na nani, msaidie nani. In short anataka kucontrol maisha yako. Ukianzisha miradi anakuzulumu. Anakuombea mabaya tu muda wote. Sasa maisha kama haya unaona ni heri ubaki na kuishi na watu baki wanakuwa msaada kuliko hata mama ysko. Mama amaweafanya watoto wake hawaelewani hawawezi kuwa na umoja kujenga nyumbani. Wakati wale unao wasaidia anawatumia wakuharibie maisha yako. Maisha ni tafrani.

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nahisi kulikuwa na ugomvi kabla ya tukiohili yaani maelewano yalikuwa madogo, Sasa huyu Dada amevuliaaaaaa akaona Leo liwalo na liwe ,la msingi ni kutoa hela za matumizi na maendeleo Kwa ujumla
Maendeleo ya 1.5 mil,uliyaona wapi_ukiona mwanamke anajisifu ni mpambanaji ujue chupi inaachanishwa na mapaja...Aala
 
Yaani tusiwaamini wanawake kwaajili ya wao???
 
Kama katekwa mkuu mbona umekimbilia kumhukum
 
Sasa million 1.5 ni ya kuiba na kukimbia. Hayo ndio matatizo ya kuoa katika familia masikini.

Dunua inamambo ~ Ditto
 
Ina maana akiomba hela huwa humpi maana hicho kiasi kwa maisha ya tanzania sio kikubwa cha kufanya ktu atokomee, kuna tatizo hapo mkuu , au labda umeoa mtu usiyemfahamu vizuri, ndio shida ya kuoa mtu kwa kutamani, mmeokotana huko bar mkaamua kuoana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…