mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Sijafichwa si unajua shamba[emoji23],Asante mlongo
Nimekumiss mnoo
Nani kakuficha huyoo?
Nataka nikupe kadi uje unisaidie kuvuna[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijafichwa si unajua shamba[emoji23],Asante mlongo
Nimekumiss mnoo
Nani kakuficha huyoo?
Hongera kwa kilimoSijafichwa si unajua shamba[emoji23],
Nataka nikupe kadi uje unisaidie kuvuna[emoji23]
ATM Card mwisho 1m kwa siku ilikuwaje hapo ?? Au hii ni bingo movie ?Kwema Humu?
Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.
Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.
Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Naileta[emoji7]Hongera kwa kilimo
Naisubiri kwa bashasha hiyo kadi
Eeeh na huyo mwanamke ulimuuliza au ndo ulikaa kusikiliza upande mmoja.Kwema Humu?
Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.
Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.
Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Tukutane PeramihoNaileta[emoji7]
1.5m? tuacheni wanawake jamani, ela ndogo ivo uyo ni mdokozi na iyo tabia mumewe anaijua em tuacheni! tusiaminike kisa mpuuzi aliedokoa 1.5m?Kwema Humu?
Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.
Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.
Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Binti wa kukimbia na 1.5M tena akiwa ameolewa ni kimeo plus,maana zitaisha kesho asbh tu kwenye vipodoziKwema Humu?
Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.
Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.
Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Huwezi kuhitimisha kwa kusema wanawake si wa kuamini kisa kuna hela imetolewa na mwanamke hajulikani alipo. Labda useme huyo jamaa ni weweKwema Humu?
Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.
Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.
Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Hakuna mwanamke hapa duniani wa kumwamini hata huyo mama Ako anajibaraguza tu lakini jicho la babako liko makini nae,na kingine kama HAWA ndo alikua mshenzi kwa Adam kabla utandawazi haujafika itakua demu wako, karumbembe mlokutana ukubwani.....take careKwema Humu?
Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.
Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.
Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Haya maisha hata mama yako usimwamimi. Sisi wengine washatupiga matukio hadi unachukia kwanini ulikuja duniani. Mama anataka skupangie uishi na nani usiishi na nani, msaidie nani. In short anataka kucontrol maisha yako. Ukianzisha miradi anakuzulumu. Anakuombea mabaya tu muda wote. Sasa maisha kama haya unaona ni heri ubaki na kuishi na watu baki wanakuwa msaada kuliko hata mama ysko. Mama amaweafanya watoto wake hawaelewani hawawezi kuwa na umoja kujenga nyumbani. Wakati wale unao wasaidia anawatumia wakuharibie maisha yako. Maisha ni tafrani.Kwema Humu?
Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.
Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.
Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Maendeleo ya 1.5 mil,uliyaona wapi_ukiona mwanamke anajisifu ni mpambanaji ujue chupi inaachanishwa na mapaja...AalaMimi nahisi kulikuwa na ugomvi kabla ya tukiohili yaani maelewano yalikuwa madogo, Sasa huyu Dada amevuliaaaaaa akaona Leo liwalo na liwe ,la msingi ni kutoa hela za matumizi na maendeleo Kwa ujumla
Yaani tusiwaamini wanawake kwaajili ya wao???Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
Jamaa kaongezea au siyohapo maana yake kakomba akiba yote iliyokuwa bank[emoji3]
Tena huenda kachukua laki 8
Kama katekwa mkuu mbona umekimbilia kumhukumKwema Humu?
Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.
Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.
Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Ina maana akiomba hela huwa humpi maana hicho kiasi kwa maisha ya tanzania sio kikubwa cha kufanya ktu atokomee, kuna tatizo hapo mkuu , au labda umeoa mtu usiyemfahamu vizuri, ndio shida ya kuoa mtu kwa kutamani, mmeokotana huko bar mkaamua kuoanaKwema Humu?