Kamwe Usimuamini Mwanamke

ATM Card mwisho 1m kwa siku ilikuwaje hapo ?? Au hii ni bingo movie ?
Inategenea , benki au aina ya kadi , Crdb kwa mfano kadi yoyote daily limit ni 2mil .kuna kadi zinatoa 5 mil na kuna hadi zinazotoa 25 mil
Black or silver atm cards ni dalili ya ukwasi kwenye akaunti hapewi kila mtu
 
1.5 kwa akili hizo za kijinga hapa saa hii hela haipo tena.

Atarudi kusema ni shetani tu.
 
Hivi kumbe unaweza ku-withdraw zaidi ya mil 1.5 kwa ATM kwa siku moja?
 
.


Kama kuna mwanamke anayeweza kutelekeza ndoa kaa 1.5m siwezi laumu mwanamke, hakukuwa na ndoa hapo, tupe fursa ya kusikia upande wa pili kabla ya kukubaliana kulaani mwanamke wa watu.
 
Km anamfahamu aliyemnyang'anya huyo mwanamke amfuatilie huyo jmaa ni asili hyo imerudi mahala pake baada ya kuambiwa tunaweza kuanza maisha yetu tukiwa na hyo hela
 
Hapa ni sawa na kusema tusinunue magari sababu kuna jamaa yako kaibiwa masega na fundi wake anayemuamini.
 
Akili za ngo ya mbowe chadema buana, ingekuwa enzi za Dkt Magufuli mgesema katekwa na watu wasiojulikana. Je kama katekwa???
 
1.5 kwenye ATM na hapo Kuna nyingine walishatoa Bank ipi hii!
1.5 atokomee kusijojulikana! Huyu hakuwa mke bora ameenda maana 1.5 ni pesa ndogo sana labda kama alikuwa na sababu akawa anatafuta Nauli ambayo hata Kenya haimfukishi😀
 
Wanawake waaminifu wapo,tena wengi tuu.hao vibaka pia wapo wengi, hao wa kukutana nao kwenye birthday parties ndiyo matokeo yake ni hivyo.Isitoshe huyo ni kibaka njaa.hawezi poteza mahusiano kwa sh.1.5mio.

Jamaa ange block kadi halafu maisha yangeendelea mbele.

On the other hand,inawezekana mke alitekwa na watu ndiyo ikatokea hivyo ilivyo,na bado wanamshikilia
 
Mkuu mambo ya ndoa Yana mambo mengi.....

Million Moja laki tano NDIO unalalamika ivyo...... Mpaka unakufuru😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna jamaa yangu nae alimuamini mkewe akampa atm card mwanamke akaenda kutoa milioni 7 akaondoka nyumbani na kuacha watoto wawili sjui alipoenda lkn baadae jamaa alirudi kwa mumewe na wanaishi pamoja tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…