Kamwe Usimuamini Mwanamke

Wazungu,waarabu, wahindi na wachina wana tabia za kuweka hela ndani sehemu ya siri kwenye kisanduku chenye passcode au kabatini wanaweza kukorofishana lakini huwezi kuta mke kaenda kusomba zile pesa, sasa wewe mswahili weka pesa ndani [emoji23][emoji23]

Siku ndani mkitofautiana aidha asikie una mchepuko tu mke anakulia timing tu anabeba maburungutu anasepa...au wengine ukiweka hela ndani ananyofoa polepole anajenga kwao au atajenga nyumba yake kimya kimya au atafanyia mambo anayojua yeye.

Ni waswahili wachache sana huweka hela ndani na mke anakuwa hana tamaa nazo.
 
Why una mlaumu mwanaume kwani wanawake wangapi huzaa na wanaume kisha uwaua ili warithi mali?
Mara ngapi umesikia mwanamke kahamisha vyombo kakimbia?

Misheni ya mwanamke inaweza chukua hata miaka 10 au 20 itimie...ni vile tunawaona wadhaifu kimwili ila kiakili hawa watu ni hatari.

Ndugu yangu ni ex-IT officer Airtel alioa wakazaa watoto wawili alijitahidi kwa kufanya kila kitu kwa familia yake jumlisha upole uliopitiliza, mwaka jana mwanzoni mke kamuibia hela ndani 5m kakata pasipoti na tiketi kakimbilia Qatar kufanya kazi za ndani..wakati wa mgogoro wa hela kupotea ndani mke aliomba kurudi kwao akidai hajachukua hela mumewe anamsingizia tu kumbe ndio anaondoka mazima Qatar haendi kwao, ninavyoongea hivi mumewe kazama kwenye ulevi uliopindukia sababu ya stress na kuachiwa watoto.
 
Bank au Wakala wa Bank(wanaosimamia miiko ya kazi zao) huwezi toa hela kama sio mmilika wa account husika labda usema alienda kutoa kupitia ATM hiyo ndio inawezekana
 
Duuu, kwa hiyo akaona pesa hiyo ni nzuri zaidi ya ndoa yake??
 
Bank au Wakala wa Bank(wanaosimamia miiko ya kazi zao) huwezi toa hela kama sio mmilika wa account husika labda usema alienda kutoa kupitia ATM hiyo ndio inawezekana
WAKALA ANATOA CHAP HATA M20 SIO MAMBO YA ATM....WE JUA TU PASSWORD KWANZA HANA SYSTEM YA KUANGALIA SIGN WALA SURA HAKUNA CHA MIIKO TUNAPASSWORD YAKO WAKALA HALA LA KUMLAUMU
 
Huyo mwanamke ana akili ndogo sana kama umeme wa luku hafai kuolewa jamaa amteme tu.
 
Huyo ni mkeo usitufokee, wengine ni wezi
 
1.5m [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mwanamke jinga sana. Mpaka sasa itakuwa imeisha halafu huyo jamaa yako si ndo wewe mwenyewe au?
 
Kwamba Card ni nzito kiasi kwamba inatakiwa ipelekwe nyumbani huku wewe ukielekea sehemu nyingine?

Huo huwa ni ujinga wa kutaka kuonyesha kuwa unampenda sana mwanamke na kwamba unamuamini, ukidhanu kuwa unapariria penzi kumbe ni ujinga tu.
Nimeshangaa sana mkuu,card inakaa kwenye wallet safi kabsa!
 
Wanawake wenye umri kuanzia 40 ndo wanajielewa
hata tunaowata ndo wana busara kisa uzee na mvi nao walikuwa wahuni enzi na washenzi zao,ukipewa faili la enzi za wanawake wa 40+ huwali ng'o
 
Mmmh huyo Halima chura nae njaa imepitiliza kweli m1 ni ya kumuibia mme na kukimbia?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…