Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Nimekuita kuna uzi wako ewe mcharuko wangu😂[emoji87][emoji87] Hapo chacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuita kuna uzi wako ewe mcharuko wangu😂[emoji87][emoji87] Hapo chacha
Nimekuita kuna uzi wako ewe mcharuko wangu[emoji23]
Wapi tena hebu nitag
Why una mlaumu mwanaume kwani wanawake wangapi huzaa na wanaume kisha uwaua ili warithi mali?Huwezi kukaa na mwanamke miaka 4 kwa uzuri kabisa ,ukitimiza mahitaji yako ka isemavyo biblia ,then akuibie 1.5 ,mwanaume ndio tatizo na amepata alichostahili! Wanawake ninwavumilivu sana Kama kaamua kumuibia something is wrong somewhere.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787]Mama yako nae haaminiki Kwa Baba yako
Bank au Wakala wa Bank(wanaosimamia miiko ya kazi zao) huwezi toa hela kama sio mmilika wa account husika labda usema alienda kutoa kupitia ATM hiyo ndio inawezekanaKwema Humu?
Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.
Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.
Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Duuu, kwa hiyo akaona pesa hiyo ni nzuri zaidi ya ndoa yake??Kwema Humu?

WAKALA ANATOA CHAP HATA M20 SIO MAMBO YA ATM....WE JUA TU PASSWORD KWANZA HANA SYSTEM YA KUANGALIA SIGN WALA SURA HAKUNA CHA MIIKO TUNAPASSWORD YAKO WAKALA HALA LA KUMLAUMUBank au Wakala wa Bank(wanaosimamia miiko ya kazi zao) huwezi toa hela kama sio mmilika wa account husika labda usema alienda kutoa kupitia ATM hiyo ndio inawezekana
Huyo mwanamke ana akili ndogo sana kama umeme wa luku hafai kuolewa jamaa amteme tu.Kwema Humu?
Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.
Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.
Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Siku hizi kuna hii style ya Bandari Kibindoni, ni nomaaa. Mke wa mtu anaweza kukuonga mpaka nyumba ya ukweniApo yupo kwa jamaa mwingine wanakula iyo hela uku jamaa anamkamua vizuri kwa ile staili yetu pendwa ya mbuzii kagoma
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huyo ni mkeo usitufokee, wengine ni weziMke wangu namuachia 240m anaitunza na nakula kila kitu kipo sawa. Siyo fahari kila siku kuwa na mada za kuwadunisha wanawake. Ni mama zetu hawa mbali na kuwa wake zetu. Tusitunge tuu vistori vya kuvutia audience tupate comments bali tujifunze kupanda mbegu njema. Huu mwenendo unahamasisha ubaya na hatimaye ukatili dhidi ya wanawake.
Njoo hadi Mbinga,peramiho utapotea mlongo[emoji23]Tukutane Peramiho
1.5m [emoji23][emoji23][emoji23]Kwema Humu?
Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.
Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.
Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Nimeshangaa sana mkuu,card inakaa kwenye wallet safi kabsa!Kwamba Card ni nzito kiasi kwamba inatakiwa ipelekwe nyumbani huku wewe ukielekea sehemu nyingine?
Huo huwa ni ujinga wa kutaka kuonyesha kuwa unampenda sana mwanamke na kwamba unamuamini, ukidhanu kuwa unapariria penzi kumbe ni ujinga tu.
hata tunaowata ndo wana busara kisa uzee na mvi nao walikuwa wahuni enzi na washenzi zao,ukipewa faili la enzi za wanawake wa 40+ huwali ng'oWanawake wenye umri kuanzia 40 ndo wanajielewa
Mmmh huyo Halima chura nae njaa imepitiliza kweli m1 ni ya kumuibia mme na kukimbia?????