Kamwe Usimuamini Mwanamke

Kamwe Usimuamini Mwanamke

Huyo alikuwa anafuga kipanga ndani, mwanamke wa maana hawezi kuacha purpose za kimaisha kwa kukimbia na 1.5M.

Kuna asilimia kubwa lengo lake lilikuwa ni kumkomoa jamaa kutokana na matatizo ambayo alikuwa ameyabebelea moyoni, nina uhakika hiyo 1.5M ndiyo pesa iliyokuwa kwenye account hivyo aliikomba yote ili kumkomoa jamaa, laiti angekuta 10M au zaidi ni hakika asingekimbia na hela kidogo hivyo, angebaki ale maisha maana asingekuwa na namna ya kuzitoa zote.
 
Haku

Mazingira gani yanayofanya wewe mwanaume ushindwe kutembea na card yako ya benki kisha mwanamke wako aweze?

Huyo jamaa ndio walewale wa kusajili mshahara uingie kwa wake zao, kisha wake zao ndio wapange matumizi, SIMPS.
Kweli kabisa
 
Kweli naye huyo dada njaa sasa milion 1.5 itamfikisha wapi si baada ya week 2 hana kitu na ndoa hana na polisi wako on her trail.
Maana akisema apange chumba anunue na.godoro ishaanza katika
Mkuu unayafahamu maisha ya watanzania walio wengi. Hiyo siyo Hela ya kuidharau. MKUU. Ni Hela nyingi sana Kwa walipa Kodi wanyonge.
 
Haku

Mazingira gani yanayofanya wewe mwanaume ushindwe kutembea na card yako ya benki kisha mwanamke wako aweze?

Huyo jamaa ndio walewale wa kusajili mshahara uingie kwa wake zao, kisha wake zao ndio wapange matumizi, SIMPS.
kumpa kadi aipeleke nyumbani sio kosa, kosa ni mwanamke kujua namba ya siri!
 
kumpa kadi aipeleke nyumbani sio kosa, kosa ni mwanamke kujua namba ya siri!
Kwamba Card ni nzito kiasi kwamba inatakiwa ipelekwe nyumbani huku wewe ukielekea sehemu nyingine?

Huo huwa ni ujinga wa kutaka kuonyesha kuwa unampenda sana mwanamke na kwamba unamuamini, ukidhanu kuwa unapariria penzi kumbe ni ujinga tu.
 
Kwema Humu?

Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.

Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.

Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.

Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.

kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.


Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Sasa milioni na nusu ni hela ya kukufanya ukimbie familia kweli
 
1.5m unamchukulia mkeo RB 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anyways naomba nijue jamaa lengo mkewe arudi nyumbani au arudishe hiyo hela aende zake?
 
Back
Top Bottom