Kamwe Usimuamini Mwanamke

Kamwe Usimuamini Mwanamke

Kwema Humu?

Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.

Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.

Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.

Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.

kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.

Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Wanawake wa kileo wengi wao ni wezi,vibaka na matapeli..wadogo zetu wanaokataa ndoa wana hoja wasikilizwe
 
Kwa hiyo mleta mada 1.5m ndo hela ya kuanzishia mada kuwa jamaa kaibiwa na mkewe?

Unajuaje wanavyoishi?

Vipi kama mke alikuwa anamuomba jamaa hela za jambo fulani muhimu jamaa akakata ndipo mwanamke akaona ile ndo njia ya kujitenga na mtu mbinafsi.

Ebu mtafute huyo mwanamke akusimulie upande wake alafu uje uupdate hapa ndipo tujue
 
1.5m unamchukulia mkeo RB [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anyways naomba nijue jamaa lengo mkewe arudi nyumbani au arudishe hiyo hela aende zake?
Huyo mwanamke ni mwizi bila kujali ameiba kiasi gani, aina hii ya wanawake ni ile wanaiba vitu ndani wanaenda kuuza.
 
Jamaa yako ni Mjinga sana
Afu mshamba mmoja hv wa hela
Unampaje Mtu Atm Card Yako.
Ni kosa kisheria
Huyo malaya Yuko sahihi kuiba hizo hela japo ni pesa kiduchu sana.
Imagine huyo jamaa atakuwa na tabia Gani mbovu nyingine.? Mpaka Sasa sijaona kosa la mwanamke.
 
Kweli naye huyo dada njaa sasa milion 1.5 itamfikisha wapi si baada ya week 2 hana kitu na ndoa hana na polisi wako on her trail.
Maana akisema apange chumba anunue na.godoro ishaanza katika
Huyo mwanamke ni Kiazi.
Jamaa amshukuru MUNGU amemuepusha na matukio mengi
 
Kwema Humu?

Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.

Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.

Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.

Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.

kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.

Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Hii ni chai ya asbhi mno, kwani kiwango Cha mwisho kutoa kwenye ATM ni kiasi gan Kwa siku?
Any tunashkru Kwa kutupikia chai nzito Kwa kweli umetisha
 
mke anakuibiaje alafu akimbie si anachukua tu anatulia....huyo alioa malaya flani hawa wanaojificha kwenye u barmaid na uhudumu wa vyakula migahawani....unamwelewa unamweka geto...kumbe ni ka single mom au kamemwacha mume huko kijijini kwa kisngizio cha kutafuta maisha mjini sana ana jibana anatuma visent home kwa makidi zake siku akikuotea anajilipa anaenda zake kwa mumewe au wanae..ndio utajua hujui hawa mabinti wa pub wana hadisi ndefu sana..sio wa kawaida.. ndoa kaoe kwenye mji unaoufahamu oa mwanamke unamtoa kwao si unakutana nae unamwita na anahamia fresh tu...
 
Kwa kuongezea hapo kabla hujaoa zijue Tabia za mama mkwe wako mtarajiwa maana ndio copy ya binti yake
 
Back
Top Bottom