Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
🪓🪓🪓🪓🪓Mama yako nae haaminiki Kwa Baba yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🪓🪓🪓🪓🪓Mama yako nae haaminiki Kwa Baba yako
🪓🪓🪓Kaiba Tsh 1.5m , huyo mwanamke siyo mrembo, mke unamwachia mpak ,40Million , mnaishi fresh tuu
[emoji23] sink la nini?La sivyo utalia ukiwa kwenye sink la Choo
SimpsHaku
Mazingira gani yanayofanya wewe mwanaume ushindwe kutembea na card yako ya benki kisha mwanamke wako aweze?
Huyo jamaa ndio walewale wa kusajili mshahara uingie kwa wake zao, kisha wake zao ndio wapange matumizi, SIMPS.
Ya kawaida mnoMkuu unayafahamu maisha ya watanzania walio wengi. Hiyo siyo Hela ya kuidharau. MKUU. Ni Hela nyingi sana Kwa walipa Kodi wanyonge.
Hii JF ni kama jalala kuna kila takataka. Ona hii takataka nayo.Tafuta singelmom aliyechoka na maisha weka ndani huku ukimjali mwanae, hao wengine (chuchu saa 6) waishie kua michepuko tu, utakuja kunshukuru badae
Choo[emoji23] sink la nini?
Crdb 2 m unatoa. Na Kwa sim banking unaweza kutoa mpaka 5-20m kutegemeana na ukwasi wako!Hii ni chai ya asbhi mno, kwani kiwango Cha mwisho kutoa kwenye ATM ni kiasi gan Kwa siku?
Any tunashkru Kwa kutupikia chai nzito Kwa kweli umetisha
Una ushamba mwingi mno bro. Kwamba 1.5M ni ndogo, okay ni ndogo kwako... hata hivyo mara nyingi ma don huwa hawadharau hela... huwezi kuta Mo au Dangote au Diamond au don yeyote mwingine akiongea upupu kama ulioongea. I am 25 ila nakuacha mbali sana kwa fikra pembuzi.!1.5m unamchukulia mkeo RB [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anyways naomba nijue jamaa lengo mkewe arudi nyumbani au arudishe hiyo hela aende zake?
Una miaka mingapi ndoani mzee? Mkeo ni mzaliwa wa mkoa gani na ni kuanzia miaka mingapi ya ndoa ulianza kumkabidhi kiasi cha hela kikubwa akutunzie?Mke wangu namuachia 240m anaitunza na nakula kila kitu kipo sawa. Siyo fahari kila siku kuwa na mada za kuwadunisha wanawake. Ni mama zetu hawa mbali na kuwa wake zetu. Tusitunge tuu vistori vya kuvutia audience tupate comments bali tujifunze kupanda mbegu njema. Huu mwenendo unahamasisha ubaya na hatimaye ukatili dhidi ya wanawake.
We hujui tu single maza ni hot cake kwenye tasnia ya ndoa.Siyo singlemom huyo? Maana humu singlemom ndo wenye changamoto
Yaani ka jinga fulani hilo zeeMaendeleo ya 1.5 mil,uliyaona wapi_ukiona mwanamke anajisifu ni mpambanaji ujue chupi inaachanishwa na mapaja...Aala
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba Card ni nzito kiasi kwamba inatakiwa ipelekwe nyumbani huku wewe ukielekea sehemu nyingine?
Huo huwa ni ujinga wa kutaka kuonyesha kuwa unampenda sana mwanamke na kwamba unamuamini, ukidhanu kuwa unapariria penzi kumbe ni ujinga tu.
Umekuwa brainwashedMwanamke ndio kiumbe wa kwanza kuongea na shetani.
Hatimaye Mwanaume kapatikanaWe hujui tu single maza ni hot cake kwenye tasnia ya ndoa.
Wanajitambua sana na kuna ujinga hawana tena. Hasa baba wa mwana asiwepo, au jera ndefu au kwa baba juu, au amepigika.
Cha muhim unaziba makovu ya alikotoka.
unaongeza mbinu taslim ya kumpenda sana mtoto wake na jamaa.
Hofu kwetu wanaume ni moja tu....uwepo wa ex katika hali ya uhai. Unaweza kutibu hilo kwanza.