Kamwe usimwamini Mwanamke, hata awe Dada yako wa tumbo moja

Umetenda dhambi kubwa sana tena mnoo halafu unasimlia sijui huo ujasiri unautoa wapi !!

Ukiona umetenda dhambi kama hiyo halafu moyo hauna hofu na bado unasimulia basi ujue moyo wako umekuwa mweusi tiii.

Tubu
 
Wanaume wa siku hizi ni wambea kuliko wanawake. (Mhe Sa100).
 
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri...
Niende kwenye mada

Kwa dunia ilipofika sasa usimwamini kiumbe anayeitwa mwanamke hata awe dadako wa kuzaliwa tumbo moja (labda kidogo mama mzazi japo naye usiweke 100% kwa hawa mama wa kizazi kipya)

Nakumbuka kipindi flani nilikuwaga natoka kisirisiri na mke wa afande mmoja mitaa flani hapa Dodoma sasa afande alikuwa anaishi na mke na watoto pia hapo nyumbani kulikuwa na dadake tumbo moja mdada flani single mother

Sasa kipindi hicho ilikuwa afande akiingia kazini usiku demu anakuja ghetto namla mpaka anaridhika namrudisha kwake sasa siku moja nampeleka usiku wa saa sita anampigia wifi yake amfungulie geti wifi (Dada wa mmewe) akaja akafungua geti na nikamwona kabisa nilishangaa nikamwuliza itakuwaje akija kumwambia kakake? alichonijibu ni kwamba wifi hanaga mambo hayo!

Ikawa ndo ivo kila tukitoka ninapomrudisha wifi yake ndo anafungua geti (japo badae hata huyu wifi mtu alianza mazoea nikamla)

Sasa tuachane na hilo maana ni zamani sana na hii familia walishahama kikazi.

Kuna hili tukio la jana niko zangu grocery flani hapa mitaa ya round about mjini kati kuna jamaa flani rafiki yangu ni daktari wa hospital maarufu hapa Dom sasa tumekaa pale grocery tunakunywa wakaja wadada wawili mmoja kabeba mtoto wa kama mwaka mmoja hivi

Hawakukaa sana jamaa akanitonya kwamba huyo demu mwenye mtoto ni demu wake japo ni mke wa mtu ila kwa sasa mme wake kasafiri kikazi nikamuuliza huyo mdada mwingine akasema ni dada wa mume!

Huyu dada anafanya kazi office flani ya bima

Yaani huyo mdada ndiye alibaki amebeba mtoto tumekaa naye hapo grocery mpaka saa saba hivi usiku yule jamaangu akiwa kachukua lodge wanapiga show na mama wa kichanga cha mwaka mmoja!

Waliporudi ndo akanyonyesha mtoto maana alikuwa analia sana kisha tukawapeleka wanapoishi.

Kwa hii mifano nimejifunza kwamba sisi wanaume tunapoishi na wadogo zetu wa kike au Dada zetu halafu unasafiri unamwacha mkeo na dadako ukitegemea eti dadako atakuja kukusanua kwamba mkeo analiwa sahau!

Hawa viumbe wakikaa pamoja huwa lao ni moja usishangae mpaka mkeo anazaa mtoto na jamaa la nje dadako anajua ila anakuchora tu😂

Dunia Inaenda kasi sana!
NB: wazee wa weka picha sikufanikiwa kupiga picha.
Kama dada yako Hana kazi na ww kaka mtu humpi kipaumbele kwako atakuwa kama boya atamuheshimu mke wako unayemuachia pesa ya mboga
 
Nilichojifunza hata wewe usiaminiwe kwa Wake Za Watu.
 
Mimi nilidhani umeandika vitu vya maana kumbe upumbavu?! Hivi tabia zenu ambazonhazina akili kama hizi ni jambo la kuja kufungua uzi JF?
 
Back
Top Bottom