Kamwe usimwamini Mwanamke, hata awe Dada yako wa tumbo moja

Umetenda dhambi kubwa sana tena mnoo halafu unasimlia sijui huo ujasiri unautoa wapi !!

Ukiona umetenda dhambi kama hiyo halafu moyo hauna hofu na bado unasimulia basi ujue moyo wako umekuwa mweusi tiii.

Tubu
 
Huyo mwanaume Rafiki Yako ndio aaminiwe?
Wanawake Kwa wanaume wanaweza kuamua kutokua waaminifu bila kujali chochote.
Mnamkalisha katoto cha mwaka nje mpaka saa sita nyie zaidi ya mashetani
 
Wanaume wa siku hizi ni wambea kuliko wanawake. (Mhe Sa100).
 
Kama dada yako Hana kazi na ww kaka mtu humpi kipaumbele kwako atakuwa kama boya atamuheshimu mke wako unayemuachia pesa ya mboga
 
Nilichojifunza hata wewe usiaminiwe kwa Wake Za Watu.
 
Mimi nilidhani umeandika vitu vya maana kumbe upumbavu?! Hivi tabia zenu ambazonhazina akili kama hizi ni jambo la kuja kufungua uzi JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…