Kamwe usimwamini mwanamke

Mkuu usiandike huku umeshika panga na unatetemeka, weka panga chini, kunywa maji kwanza, ukimeza maji sema “ALL IS WELL” kimoyo moyo mara tano.
Anyways, kila siku tunawaambie “these hoes aint loyal” hamwelewi hamsikii ngoja liwakute jambo ndio mtaelewa. Sisem kuwa wanawake wazuri hawapo wapo ila ninyi mkianzisha relationship na hawa wanawake mnajifanya mabingwa wa ku ignore redflags if you see some, me mwanamke akinionyesha tu upuuz wake hanioni tena na hapo tunakuwa tushafunga chapter
 
Mwanamke wa kawaida ana mahawara 6 akiongezeka wa 7 utajua. Ukipata hela nunua viwanja na mashamba ndo pona yako ukiwa uzeeni maana ndio kuliko na fainali kwa wanaume.Sio kila kitu unamuonyesha mwanamke
 
Hakika mkuu.
 
Alikuwa mkuu not now.
 
LGBTQI tumeshawajua janja yenu na vistori vya kutunga.

Ili ionekana ndoa haina thamani huku mnatangaza ufirauni na kuutaja taja mara kwa mara ili uanze kuzoeleka iwe ni jambo la kawaida.

Poor man
How? Kwani haujawahi kusikia wanandoa wameuana au kufanyana vibaya sana kimwili na kiroho? Kama umewahi inamaana wewe kwa akili yako ndogo unaamini hao watu wanahamasisha mauaji kwenye ndoa au?
NB:- Ndoa ni Baraka japo_kuwa Mimi leo nalia lakini wapo wanao timiza miaka 5, 15 au 20 kwenye ndoa zao na wanafuraha tele so nikisema hapa yaliyo nisibu haimanishi kuwa ndoa zote zipo hivyo, Bwana mdogo jitahidi kupunguza kuwaza uShogA unaweza sema sisi tuna promote kumbe wewe ndo unafanya hivyo.
 
Ni chai hii na hawa ni mashoga wanaotaka kuchafua tasisi ya ndoa kama wao walivyo loosers wanataka na sisi tuonekane hivyo.
Unajua unaweza usiwe shoga kwa vitendo ila ni_shoga wa akili. Vijana wengi ni mashoga kiakili ndiomana mtu akileta issue yake muhimu nyie mnawaza uShogA tu akili zenu always zipo kishogashoga hata kwenye vitu serious jipambanue bwana mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…