toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Mkuu usiandike huku umeshika panga na unatetemeka, weka panga chini, kunywa maji kwanza, ukimeza maji sema “ALL IS WELL” kimoyo moyo mara tano.
Anyways, kila siku tunawaambie “these hoes aint loyal” hamwelewi hamsikii ngoja liwakute jambo ndio mtaelewa. Sisem kuwa wanawake wazuri hawapo wapo ila ninyi mkianzisha relationship na hawa wanawake mnajifanya mabingwa wa ku ignore redflags if you see some, me mwanamke akinionyesha tu upuuz wake hanioni tena na hapo tunakuwa tushafunga chapter