Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Tena waambie wanawake wanzako wakomeeee kbs wasimekusema sisi wote mbwa

1.hawezi kukulipia mali.
2.hawezi kujilisha mwenywe na ni mzima wa afya tele hii kwa maana nyingine anachagua sana kazi
 
Nakazia tu ukiona mwanaume anaogopa kugharamikia mahitaji ya mwanamke au anataka kulelewa na mwanamke hapo hamna binadamu timamu.

Duniani Viumbe vyote vya Kiume vimeumbwa na nguzu ya ziada kuliko viumbe vya kike na lengo ni kuvilinda viumbe vya kike na vizazi vyao.
 
Amen
 
Bidhaa mpya inatolewa na wanunuzi wapya
Wa mtumba mtanunua mtumba huohuo
Mwanaume huwa sio mtumba ata biblia inajua ilo, ndio maana biblia iliruhusu mwanaume kutoa taraka na kuoa tena kwa swala la uasherati au uchawi, ila mwanamke ukipewa taraka kwa swala la uasherati au uchawi hauruhusiwi kutolewa mahari ukaolewa tena.
 
Kamwe usiolewe na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Sikuwahi kuona kwenye Biblia mwanaume aliyepewa mke bure.

Tena wengine mnajifanya kupenda sana, unalazimisha kuolewa na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Wengine mnaenda mbali zaidi na kuwasaidia kulipa hizo mahari.

Ukiona umemsaidia kulipa mahari usishangae na huko ndani akakuachia majukumu yote ya familia.

Kama unampenda msaidie mambo mengine lakini ikifika muda wa kulipa mahari hiyo ngoma mwache aicheze mwenyewe, ikimshinda basi huyo hakufai.

Kwanini hakufai??

Hakufai kwa sababu suala la kuoa siyo surprise ni suala la kujiandaa. Kama mchumba ameweza kununua mahitaji yake yote, atashindwaje kukulipia mahari!?!

Binti nakwambia usije thubutu kujifanya unamsaidia mwanaume kulipa mahari, hilo ni lake. Ukimpa mahari ujue umejioa mwenyewe dada.

Na wale vijana mnaolipiwa mahari na wazazi wenu pia siwaelewi jamani. Usije ukashangaa mke anakuwa wa ukoo, wao ndiyo wanamcontrol na hauwezi kufanya jambo bila wao.

Na
Winnie Kilemo
Umechokoza hoja ambayo ikijibiwa vilivyo utadai unadhalilishwa kwa sababu wewe ni mwanamke.
Ila vipi kwani tunapokulipia mahari na kukununua huwa tunakutofautishaji na mbuzi au gari maana hivyo huwa vinalipiwa hela ili tuvipate ?
 
Kama unaona mwanamke na mbuzi ni sawa basi kamlipie mbuzi mahari umuoe,uishi naye na uzae naye.
Uwe unalala naye kabisa.
 
Mwanaume huwa sio mtumba ata biblia inajua ilo, ndio maana biblia iliruhusu mwanaume kutoa taraka na kuoa tena kwa swala la uasherati au uchawi, ila mwanamke ukipewa taraka kwa swala la uasherati au uchawi hauruhusiwi kutolewa mahari ukaolewa tena.
Wapi biblia imesema mwanamke ni mtumba??
Hayo ni maneno yako.
Mtumba unaenda kwa mtumba..huwezi kukuta mtumba umechanganywa na special.
 
Wapi biblia imesema mwanamke ni mtumba??
Hayo ni maneno yako.
Mtumba unaenda kwa mtumba..huwezi kukuta mtumba umechanganywa na special.
Sijasema mwanamke ni mtumba labda kama ujanielewa, ila nimesema uwezi nunua mtumba usio na ubora kwa gharama kubwa.

Kwa mjibu wa biblia mwanamke anaeruhusiwa kutolewa mahari ni aliye bikra tu
 
We dada hv umeolewa kweli?kama umeolewa mumeo ana shida,muda wote unachat hata mumeo humpikii au
Pole Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi zangu nafanya kama kawaida na kuchat nachat na hakuna kitu kinaharibika.
 
Back
Top Bottom