Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Mimi naamini katika haki za binadamu, mtu akijiweka kuwa bidhaa, hiyo pia ni haki yake.

Hujakatazwa kujifanya bidhaa yenye bei.

Ni haki yako.

Lakini, hilo haliondoi ukweli kwamba umejifanya bidhaa yenye bei.
Kama unaona ng'ombe na mtu wapo sawa basi sawa.
 
Hiyo ni asili inataka hivyo
Na tangu kuumbwa kwa ulimwengu ..wote tumechukua ubin wa Adam..bin_adamu

Hiyo ya bidhaa sijui hata umeitoa wapi.
Hata ukisoma kwenye Biblia utakuta mahari imeongelewa.
Hayo ya kuumbwa kwa ulimwengu umehadithiwa tu kama sehemu ya stories za mfumodume.

Unaelewa story ya Adam ni ya Wayahudi tu.

Wachina, Wajapan, Wahindi, Waafrika wanaojitambua, hawamtammbui Adam kama mtu wa kwanza?

Unaelewa story ya Adam sehemu nyingi ndiyo iliyopandikiza mfumodume uliomkandamiza mwanamke mpaka akawa bidhaa mpaka leo?

Jibu lako halipingi hoja yangu.

Jibu lako linaiongezea nguvu hoja yangu.
 
Kama unaona ng'ombe na mtu wapo sawa basi sawa.
Tatizo hata kusoma kwa ufahamu huwezi.

Ndiyo maana hatuelewani.

Wapi nimesema ng'ombe na mtu wapo sawa?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

We are from two different worlds it seems.
 
Yesu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao uliowataja,wao kutokuijua hiyo story haina maana kwamba haipo.

Mahari ni lazima na imeagizwa hivyo.. mwanamke ni mwanamke na mwanaume ni mwanaume.
Ndivyo system ilivyo.
 
Tatizo hata kusoma kwa ufahamu huwezi.

Ndiyo maana hatuelewani.

Wapi nimesema ng'ombe na mtu wapo sawa?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

We are from two different worlds it seems.
Yawezekana siwezi kusoma kwa ufahamu unakokusema
Ila kama umeweza kusema mwanamke akitolewa mahari anakuwa kama bidhaa kwa tafsiri nyingine unamchukulia mwanamke Kama hizo bidhaa nyingine.
 
Yesu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao uliowataja,wao kutokuijua hiyo story haina maana kwamba haipo.

Mahari ni lazima na imeagizwa hivyo.. mwanamke ni mwanamke na mwanaume ni mwanaume.
Ndivyo system ilivyo.
Mahari si lazima.

Unasema lazima kwa sababu upeo wako umeishia kwenye jamii yako.

Hapo hapo Tanzania watu wanaolewa bila mahari. Utasemaje ni lazima?

Zaidi, hujakanusha kwamba mahari inamfanya mwanamke kuwa bidhaa yenye bei sawa na bidhaa nyingine yoyote yenye bei.
 
Mkuu kama unaona mwanamke ni bidhaa sawa.
Kila mtu abaki na mtazamo wake.

Watakaoolewa bila mahari waache waolewe..tutakaoolewa kwa kulipiwa mahari acha tuolewe
 
Yawezekana siwezi kusoma kwa ufahamu unakokusema
Ila kama umeweza kusema mwanamke akitolewa mahari anakuwa kama bidhaa kwa tafsiri nyingine unamchukulia mwanamke Kama hizo bidhaa nyingine.
Nikisema kitendo cha makaburu kumfunga Mandela kwa maoni yake ya kisiasa kilimfanya Mandela kuwa kama mnyama, hilo linamaanisha nilimuona Mandela mnyama?

Nikisema kitendo cha Polisi kuwapiga raia kwa kuandamana kwa haki kinawafanya raia wawe kama mbwa koko, hilo linamaanisha nawaona raia mbwa koko?

Unaweza kufuatilia hoja kimantiki?
 
Mkuu kama unaona mwanamke ni bidhaa sawa.
Kila mtu abaki na mtazamo wake.

Watakaoolewa bila mahari waache waolewe..tutakaoolewa kwa kulipiwa mahari acha tuolewe
Wapi nimesema namuona mwanamke kama bidhaa?

Unajua kusoma kwa ufahamu?
 
Unapoleta mada kama hii uwe na uelewa vizuri...lengo lako ni kuwashauri mabinti wasikurupuke....unaongeza kabisa imeandikwa kwenye Biblia!! ulisoma au ulihadithiwa??...mahari iliyo safi na sahihi...hutolewa kwa KIGORI (bikira), binti ambaye hajaguswa....mchanga, na ameutunza USICHANA wake........hiki ndicho Biblia inachosema........ushatumika mpaka uchi una migongo tende......mahari haipaswi kutolewa kabisa......hakuna asiejua hili...ni kujitoa uelewa.......MWANAUME,, mchumba wako akiwa sio bikra(hujambikiri wewe) wacha ujinga komaa usitoe mahari...aidha akuzalie wana kwanza......
 
Ukishaanza kwa msingi wa Bibkia tu, Biblia yenyewe inawekewa maswali.

Kwani imetumika sana na mfumodume kukandamiza wanawake.

Sasa mpaka hapo tu, hoja nzima ya Biblia inawekewa maswali.

Pia, kuna watu wengi hatuamini mqneno ya Biblia tu, inabidi uje na mantiki nzito zaidi ya "Biblia imesema".

Kwa msingi huu wa "Biblia imesema", wanawake wataendelea kukandamizwa siku zote.

Biblia ndivyo inavyosema hivyo.

Mwanamke awe chini ya mwanamme.
 
Asante sana kaka mkubwa. Umeandika kwa hekima sana. Vijana tumekuelewa.
 
mwache awapoteze wenzake.......
 
don't be fixed in love,. lakini kama unauhakika na hilo, hakikisha na wewe una bikra.
 
Kwahiyo unataka kuoa bure???
Sawa,kuna wa kuolewa bure pia
 
Wapi nimesema namuona mwanamke kama bidhaa?

Unajua kusoma kwa ufahamu?
Kila mtu abaki na mtazamo wake.[emoji2772]
 
....kwa mujibu wa mafundisho ya kiislamu mahari ni ya binti,yeye ndie anayepanga...anaweza akaolewa ata kwa ubeti wa shairi ni makubaliano tuu
 
huna bikra, sitoi mahari hakika.....nakununua...just a parcel......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana...tafuta mke wa bure,sijui labda waweza kumpata.

Wanaume wa zamani walistahili kuoa binti kigori kwa sababu hata wao walijitunza.
Wanaume wa siku hizi walivyo Malaya halafu wanategemea kuoa bikra na huku wameziharibu wenyewe!!
Watavuna walichopanda.
 
....kwa mujibu wa mafundisho ya kiislamu mahari ni ya binti,yeye ndie anayepanga...anaweza akaolewa ata kwa ubeti wa shairi ni makubaliano tuu
Yupo aliyewahi kuolewa kwa ubeti wa shairi???
Atakuwa hajitambui haki ya nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…