nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,814
- 4,781
siku ZOOOOTE....mwanamke ndie MALAYA......hakuna mwanaume MALAYA.....tunaishi kwa uasilia wetu mtakatifu Anne...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana...tafuta mke wa bure,sijui labda waweza kumpata.
Wanaume wa zamani walistahili kuoa binti kigori kwa sababu hata wao walijitunza.
Wanaume wa siku hizi walivyo Malaya halafu wanategemea kuoa bikra na huku wameziharibu wenyewe!!
Watavuna walichopanda.