Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana...tafuta mke wa bure,sijui labda waweza kumpata.

Wanaume wa zamani walistahili kuoa binti kigori kwa sababu hata wao walijitunza.
Wanaume wa siku hizi walivyo Malaya halafu wanategemea kuoa bikra na huku wameziharibu wenyewe!!
Watavuna walichopanda.
siku ZOOOOTE....mwanamke ndie MALAYA......hakuna mwanaume MALAYA.....tunaishi kwa uasilia wetu mtakatifu Anne...
 
Pole Sana
Hakuna sehemu imeruhusu mwanaume kuwa malaya

Endelea kujifariji ..huwezi kupanda ngano ukavuna mahindi.

Unavyogonga wa wenzio na wewe wako wapo kumgonga ..ni suala la muda tu mnafanya hizo exchange

Na mtaendelea kulia Lia humu kwa ujinga wenu wa kufungua fungua zipu na ukitombi. .wenzenu hawakuwa Malaya.
 
ukinionyesha nukuu ktk utakatifu wako inayotamka "mwanaume malaya"...ITAPENDEZA!!!...sawa hawakuwa malaya,..na hakuna mwanamme malaya......walikuwa wanatoa MAHARI kwa wasichana VIGORI,,,,,not used.... huna bikra mahari ya nini....kwanza ni mchafu.....nakununua nikumiliki....
 
Yupo aliyewahi kuolewa kwa ubeti wa shairi???
Atakuwa hajitambui haki ya nani
Yaah wapo wengi walio olewa kwa aya za Qur'an ambazo ukizisoma hazizidi dakika tatu...

Na nina mdogo wangu kaoa kwa kitabu cha Qur'an..

Mahari ni chochote kile chenye kuleta wepesi wa ndoa as long as mwanamke asiolewe bure.
 
ukinionyesha nukuu ktk utakatifu wako inayotamka "mwanaume malaya"...ITAPENDEZA!!!...sawa hawakuwa malaya,..na hakuna mwanamme malaya......walikuwa wanatoa MAHARI kwa wasichana VIGORI,,,,,not used.... huna bikra mahari ya nini....kwanza ni mchafu.....nakununua nikumiliki....
Kwani nyie ni wasafi??
Uahawahi ona chombo kisafi kinachanganywa na vichafu???

Vichafu kwa vichafu

Mwanaume mzinifu si tu malaya bali ni mjinga (Hana akili)
Ni mithali hiyo inasema hivyo
 
Yaah wapo wengi walio olewa kwa aya za Qur'an ambazo ukizisoma hazizidi dakika tatu...

Na nina mdogo wangu kaoa kwa kitabu cha Qur'an..

Mahari ni chochote kile chenye kuleta wepesi wa ndoa as long as mwanamke asiolewe bure.
Hongera zenu
 
Kwani nyie ni msafi??
Uahawahi ona chombo kisafi kinachanganywa na vichafu???

Vichafu kwa vichafu

Mwanaume mzinifu si tu malaya bali ni mjinga (Hana akili)
Ni mithali hiyo inasema hivyo
Huna bikira, hupaswi kutolewa MAHARI.... wewe ni mchafu(KAHABA).....natoa mahari kukununua.....
 
Kila mtu abaki na mtazamo wake.[emoji2772]
Jifunze kutetea hoja.Jifunze kusema kwa nini kitu fulani ni sahihi au siyo sahihi kimantic na wala siyo kusema kila mtu abaki na hoja yake.Kusema kila mtu abaki na hoja yake ni dalili kuu ya kushindwa kutetea hoja yako.Kama unajua kuwa kitu fulani ni sahihi ni lazima uweze kuprove kuwa ni sahihi badala ya kusingizia kuwa kila mtu abaki na mtazamo wake.
 
Uwezo wangu umeishia hapo
 
mwache awapoteze wenzake.......
Sasa hivi kinachotokea ni kwamba, hata ndoa zenyewe za harusi zinakufa kifo cha asili.

Watu wengi hawaoi, wanajivutia tu, wanaelewana, wanayajenga maisha.

Before you know it, wana watoto.

Na hapo kama Baba na Mama wanaishi pamoja ni jambo zuri. Maana wanaume wengine wanasepa.

Kama wanaeleewana wanaishi bila complication, poa kivyao tu.

Sasa hapo hapo mtu anataka kudai harusi kuubwa na mahari kubwa juu.

Maisha fulani ya kulazimisha mwanamke awe mtu wa kubebwa kila siku.
 
Back
Top Bottom