Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
- Thread starter
- #501
Nani amesema hana thamani?Mimi kuoa mwanamke bila kutoa mahari haimaanishi kuwa hana thamani.Thamani ya binadamu ni kubwa sana kiasi kwamba hakuna bei inayoweza kumnunua