Syolosu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2019
- 868
- 1,016
Wanawake wengine hawahitaji mahari ili waolewe ..ukionesha nia kwao inatoshaNa wengi wanaojilipia mahari ndoa zimewatokea puani, wameishiwa kuuliwa tu, na kuteswa Hadi kuachwa walemavu, mwanaume asiyeweza kutoa mahari na asioe kabisa aisee mpaka awe vizuri