Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Marekani kwa mfano, wao sehemu nyingi huwa hawalipi mahari wanapooa, wanalipa wakati wa kuachana, inaitwa "alimony".

Na aliye na kipato zaidi anamlipa asiye na kipato zaidi.

Kwao ndoa kituo cha polisi, kuingia bure, kutoka unalipia.
πŸ“Œ
 
Kamwe usiolewe na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Sikuwahi kuona kwenye Biblia mwanaume aliyepewa mke bure.
Sijawahi kuona kwenye Biblia, mtu aliyelipa mahari ana mke mmoja.
Nimeambatanisha hapo kusisitiza hoja, lakini pia manguli wengi wa bibliani hawakuwa na mke mmoja, sijui unatushauri vipi Mtakatifu Anne.View attachment 1595626
Hawa wanatumia biblia kujifanya wanatukamata lakini ukiangalia maandiko hayako fair kwa mwanamke tukianza kuyatumia watalia hawa.
Winnie Kilemo, wakati flani namwona kama mtu aliyekaa kwenye wokovu miaka mingi ila ni mchanga kwenye mambo ya kiroho.
anyway, ukitumia biblia, anaetakiwa kulipiwa mahari ni binti kigori tu. ndivyo torati inavyoeleza. ukikuta sio kigori warudishie wenye mtoto nao warudishe mahari!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mahari is overrated, mahari kwa dunia ya sasa haina maana yoyote. Kwani zamani walitoa mahari kwa sababu zipi, I thought ni asante kwa wazazi kimtunza binti yao hadi anaolewa akiwa kigori(kigoli).
Leo unaoa mke wa watu huko, walishajitwalia wengi kabla yako wewe unakuja kuhalalishwa tu na kujibebea, kuongeza laana katika uzao wako.

Mahari for the purity nakubali, Ila kwa sisi tuliojiharibu, sioni mantiki hata kidogo.
na huu ndio uhalisia hasa kama mtu ataleta msingi wa kimaandiko katika kudai Mahari...........
mahari kwa binti ambae ni used hapana, sio sahihi ila ndio hivyo maisha yalivyo!
πŸ“Œ nakazia hii hoja!
 
Mbona mahari zinazopangwa ni za kawaida kabisa.

Wanaume wenyewe ndiyo wasatoaji wazuri wa hizo bikra za wanawake.
Zamani wanaume walikuwa watulivu.
Wanawake wao wenyewe ndiyo chanzo cha kutolewa bikra zao kabla ya ndoa.
Zamani wanawake walikuwa watulivu zaidi. Walikaa nyumbani kutunza bikra zao wakisubiri mwanaume wa kuwaoa.
Na zamani pia, mwanamke akishaolewa anakuwa mtiifu na anafuata kanuni, misingi na sheria anazoambiwa na mume wake (wife should be submissive), Anachokisema mume ndiyo kinafuatwa na mke!
Tukirejea kwenye Maandiko, zamani hata kwenye Sensa tu Wanawake walikuwa hawahesabiwi.
Kwa kifupi Karne hii ya 21 kama tukirudi Kiutaratibu na Tuishi kama Maandiko yanavyotaka, basi Wanawake wenyewe Mtaandamana na Mtaomba tena turudi tuishi kwa utaratibu kama Karne ya 21 tuliyonayo sasa.

Nachoweza kusema ni kwamba BE CAREFUL WITH WHAT YOU WISH FOR. Mahari kwenye Maandiko ya Kidini ilitolewa kwa msichana kigoli kama heshima na shukrani kwa wazazi.
ila Kimila mahari imekuwa kama kumnunua msichana vile. Hapo utaagizwa ulete makorokoro kibaoπŸ˜€ .
Note:- Maandiko namaanisha Miongozo ya Kidini za Abrahamic Religions (Judaism/Jews, Christianity & Islam)
 
tafsiri ya mahari ni shukrani kwa wazazi wa binti kwa kumtunza binti yao vizuri, sasa kama binti hajatunzwa vizuri (sio bikra) unataka shukrani ya nini?
Saint Anne
Saint Anne hivi unaelewa kwanini Mungu aliiweka bikra kwa mwanamke? au unaelewa kwanini Yesu alikaa kwenye tumbo la bikra?....... kama wewe ni mfuasi wa Kristo then unajua!
btw, mimi haya mambo ya bikra huwa sipendi kuyajadili sana,,,,,,........
.
 
Mkuu, katika Uislam mahari anatolewa mwanamke yeyote anayeolewa(awe bikra au sio bikra). Katika Uislam hakuna ndoa bila mahari.

وؒ Ψͺوا Ψ§Ω„Ω†Ψ³Ψ§Ψ‘ Ψ΅Ψ―Ω‚Ψ§ΨͺΩ‡Ω† Ω†Ψ­Ω„Ψ©

β€œNa wapeni wanawake mahari yao…” (An-Nisaa: 4)

Na Akasema tena Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) katika Surat Al-Ahzaab:

يا Ψ£ΩŠΩ‡Ψ§ Ψ§Ω„Ω†Ψ¨ΩŠ Ψ₯Ω†Ψ§ Ψ£Ψ­Ω„Ω„Ω†Ψ§ Ω„Ωƒ Ψ£Ψ²ΩˆΨ§Ψ¬Ωƒ Ψ§Ω„Ω„Ψ§Ψͺي Ψ’ΨͺيΨͺ Ψ£Ψ¬ΩˆΨ±Ω‡Ω†

β€œEwe Nabii! Tumekuhalalishia wake zako uliowapa mahari yao…” (Al-Ahzaab: 50)

Na Akasema vile vile katika Surat An-Nisaa:

فما Ψ§Ψ³ΨͺΩ…ΨͺΨΉΨͺΩ… Ψ¨Ω‡ Ω…Ω†Ω‡Ω† فؒΨͺΩˆΩ‡Ω† Ψ£Ψ¬ΩˆΨ±Ω‡Ω† فريآة

β€œ … basi wale mnaowaoa miongoni mwao wapeni mahari yao yaliyolazimishwa…” (An-Nisaa: 24)

Hizo aya nimezinakili kutoka Alhidaaya.com
Thanks for the Tip! πŸ’ͺ🏾
Waislam pia wanafata Torati ya Musa vile vile kama ilivyo Wayahudi, Wakristo. Hivyo naomba unipe na vifungu vya Torati ili nielimike zaidi!
Sina tatizo na mtu kutoa au kutokutoa mahari. Sina tatizo pia na mtu kuoa msichana yeyote atakayependana naye. Awe na bikra au asiwe na bikra!
Uzuri ni kuwa Dini huwa hazi-complecate masuala ya ndoa. Sie waumini ndo tuna-complecate mambo hasa pale tunapochanganya na mila zetu asilia.
 
Mkuu, Waislam tunafuata Sharia aliyokuja nayo Mtume Muhammad (Swalla Allahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam). Tunafuata Qur'an na Sunnah. Tokea alipokuja Mtume Muhammad kwa ajili ya walimwengu wote, wote tunatakiwa kufuata aliyoteremshiwa
Mbali na Quran, ni vyema pia muislam apite kwenye Torati ya Musa, Injili ya Isa bin mariamu na Zaburi ya Daudi.
Jitahidi kufuatilia vizuri mitume wakuu 25 katika uislamu, Kuanzia Adam.
Kwa kifupi wanazuoni wote wa Islam huwa wanajua Quran, Torati, Zaburi na Injili.
By the way tuuche hapa huu mjadala kuhusu hizi dini za mashariki ya kati. LOVE IS MY RELIGION!
ila thanks for the info! πŸ™ŒπŸΎ much respect kwako!
 
Wanawake wao wenyewe ndiyo chanzo cha kutolewa bikra zao kabla ya ndoa.
Zamani wanawake walikuwa watulivu zaidi. Walikaa nyumbani kutunza bikra zao wakisubiri mwanaume wa kuwaoa.
Na zamani pia, mwanamke akishaolewa anakuwa mtiifu na anafuata kanuni, misingi na sheria anazoambiwa na mume wake (wife should be submissive), Anachokisema mume ndiyo kinafuatwa na mke!
Tukirejea kwenye Maandiko, zamani hata kwenye Sensa tu Wanawake walikuwa hawahesabiwi.
Kwa kifupi Karne hii ya 21 kama tukirudi Kiutaratibu na Tuishi kama Maandiko yanavyotaka, basi Wanawake wenyewe Mtaandamana na Mtaomba tena turudi tuishi kwa utaratibu kama Karne ya 21 tuliyonayo sasa.

Nachoweza kusema ni kwamba BE CAREFUL WITH WHAT YOU WISH FOR. Mahari kwenye Maandiko ya Kidini ilitolewa kwa msichana kigori kama heshima na shukrani kwa wazazi.
ila Kimila mahari imekuwa kama kumnunua msichana vile. Hapo utaagizwa ulete makorokoro kibao[emoji3] .
Note:- ninapoandika "Maandiko" namaanisha Miongozo ya Kidini za Abrahamic Religions (Judaism/Jews, Christianity & Islam)
Tukiyafwata pia maandiko basi Hakuna mwanaume anayestahili kuoa.

Kwa sababu NENO linawahimiza muishi na wake zenu kwa akili,Sasa nyie akili mnatoa wapi wakati hamna hizo akili??
"Aziniye na mwanamke hana akili kabisa"
Si maneno yangu hayo bali ni ya MUNGU katika Mithali.

Msitegemee kuvuna ngano wakati mlipanda kunde.
 
Nimekoma mie! πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ najiandaa kuleta kwenu mahari! Nimeshapata akili ya kuishi na wewe πŸ˜€
Haya Maandiko bana, everybody can exploit the scripture and interpret them to their own liking and advantage, Obviously everybody can find the lines to support and defend their own claims in the scripture.
Interpretation zipo tofauti kati ya mtu na mtu hivyo ni wazi kila mtu akiamua ataupata tu mstari wa kuu-exploit ili kusapoti point yake kwa kutumia maandiko hayo hayo.
 
Nimekoma mie! [emoji1487][emoji1487] najiandaa kuleta kwenu mahari! Nimeshapata akili ya kuishi na wewe [emoji3]
Haya Maandiko bana, everybody can exploit the scripture and interpret them to their own liking and advantage, Obviously everybody can find the lines to support their own claims in the scripture. Interpretation zipo tofauti kati ya mtu na mtu hivyo ni wazi kila mtu akiamua tu basi atapata mstari wa kuu-exploit ili kusapoti point yake kwa kutumia maandiko hayo hayo.
Tafuta yanayokufavor uje unipinge
Haina shida kabisa...ila wanaume wa zamani walikuwa na akili..hawakuwa wajinga Kama wa Sasa.
Ko walideserve tu.

Ujinga wa wanaume wa sasa ndio uliotengeneza mabinti tulionao Sasa

Na hao wanaokuambia habari za mke zaidi ya mmoja nawaona tu wanavyobwabwaja hapa
Ndugu zetu waislam na kwa Imani Yao wapo sawa kabisa..walifwata msingi wa Ibram na Sarai...
Sarai kabla ya kuwa Sara alikuwa hapati watoto..
Sarai alimruhusu Ibram azae na Hajir mjakazi wake...akamzaa Ismail
Lakini baadaye ndo akaja kupata mtoto (Isaka) na Hajir akafukuzwa pale..

Lakini waislam wa Leo wanajiolea tu wake utadhani wanabubuna karanga..wanasomba tu bila kuzingatia utaratibu huo wa kuruhusiwa na wake zao

Mahari yako sitaki[emoji23][emoji23]
 
Na hao wanaokuambia habari za mke zaidi ya mmoja ,ni ndugu zetu waislam na kwa Imani Yao wapo sawa kabisa..walifwata msingi wa Ibram na Sarai...
Sarai kabla ya kuwa Sara alikuwa hapati watoto..
Sarai alimruhusu Ibram azae na Hajir mjakazi wake...akamzaa Ismail
Lakini baadaye ndo akaja kupata mtoto (Isaka) na Hajir akafukuzwa pale..

Lakini waislm wa Leo wanajiolea tu wake utadhani wanabubuna karanga..wanasomba tu bila kuzingatia utaratibu huo wa kuruhusiwa na wake zao

Mahari yako sitaki[emoji23][emoji23]
Wanaume wa zamani kama akina Samsoni vile wenye akili zao au sio
 
Tukiyafwata pia maandiko basi Hakuna mwanaume anayestahili kuoa.

Kwa sababu NENO linawahimiza muishi na wake zenu kwa akili,Sasa nyie akili mnatoa wapi wakati hamna hizo akili??
"Aziniye na mwanamke hana akili kabisa"
Si maneno yangu hayo bali ni ya MUNGU katika Mithali.

Msitegemee kuvuna ngano wakati mlipanda kunde.
Tukirudi kwenye Mithali humo humo, je vipi kuhusu hili la mke, hebu pita Mithali 31:10-31 na 1petro 3:1-11
 
Tafuta yanayokufavor uje unipinge
Haina shida kabisa...ila wanaume wa zamani walikuwa na akili..hawakuwa wajinga Kama wa Sasa.
Ko walideserve tu.

Ujinga wa wanaume wa sasa ndio uliotengeneza mabinti tulionao Sasa

Na hao wanaokuambia habari za mke zaidi ya mmoja nawaona tu wanavyobwabwaja hapa
Ndugu zetu waislam na kwa Imani Yao wapo sawa kabisa..walifwata msingi wa Ibram na Sarai...
Sarai kabla ya kuwa Sara alikuwa hapati watoto..
Sarai alimruhusu Ibram azae na Hajir mjakazi wake...akamzaa Ismail
Lakini baadaye ndo akaja kupata mtoto (Isaka) na Hajir akafukuzwa pale..

Lakini waislam wa Leo wanajiolea tu wake utadhani wanabubuna karanga..wanasomba tu bila kuzingatia utaratibu huo wa kuruhusiwa na wake zao

Mahari yako sitaki[emoji23][emoji23]
wanaume wa zamani wenye akili kama akina Daud vile, wapo tayari kuua mtu (tena mwanajeshi wake) ili warithi mke wa marehemu.
Mkuu, wanaume ni wale wale tu ki-mentality na focus ndo mule mule kwa wanaume wengi wa kale na wa sasa pia. Tofauti ni Teknolojia tu kati ya iliyokuwepo kale na sasa! ila Mentality na Focus ya wanaume ni ile ile tu MONEY (mali), POWER (madaraka) & SEX.
 
Tukirudi kwenye Mithali humo humo, je vipi kuhusu hili la mke, hebu pita Mithali 31:10-31 na 1petro 3:1-11
Mithali inaongelea mke mwema
Petro inaongelea utii kwa mume na upendo kwa mke..
Wewe unauliza lipi??.
Be specific
 
wanaume wa zamani kwenye akili kama akina Daud vile, wapo tayari kuua mtu (tena mwanajeshi wake) ili warithi mke wa marehemu.
Ngoja nikurahisishie

Wanaume wa zamani waliniheshimu Sana..hawakuwa tombatomba hovyo Kama nyie mliojazana kwenye masikhara..
Na hiyo ndiyo akili inayoongelewa kwenye Mithali.
 
Back
Top Bottom