Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 644
- 718
ππππTena ukienda kuoa sehemu ambayo kuna kaka yake anatarajia kuoa.
Unajikuta umemlipia na huyo mkuu.
πMarekani kwa mfano, wao sehemu nyingi huwa hawalipi mahari wanapooa, wanalipa wakati wa kuachana, inaitwa "alimony".
Na aliye na kipato zaidi anamlipa asiye na kipato zaidi.
Kwao ndoa kituo cha polisi, kuingia bure, kutoka unalipia.
Kamwe usiolewe na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Sikuwahi kuona kwenye Biblia mwanaume aliyepewa mke bure.
Sijawahi kuona kwenye Biblia, mtu aliyelipa mahari ana mke mmoja.
Nimeambatanisha hapo kusisitiza hoja, lakini pia manguli wengi wa bibliani hawakuwa na mke mmoja, sijui unatushauri vipi Mtakatifu Anne.View attachment 1595626
Hawa wanatumia biblia kujifanya wanatukamata lakini ukiangalia maandiko hayako fair kwa mwanamke tukianza kuyatumia watalia hawa.
πππππππWinnie Kilemo, wakati flani namwona kama mtu aliyekaa kwenye wokovu miaka mingi ila ni mchanga kwenye mambo ya kiroho.
anyway, ukitumia biblia, anaetakiwa kulipiwa mahari ni binti kigori tu. ndivyo torati inavyoeleza. ukikuta sio kigori warudishie wenye mtoto nao warudishe mahari!
Mahari is overrated, mahari kwa dunia ya sasa haina maana yoyote. Kwani zamani walitoa mahari kwa sababu zipi, I thought ni asante kwa wazazi kimtunza binti yao hadi anaolewa akiwa kigori(kigoli).
Leo unaoa mke wa watu huko, walishajitwalia wengi kabla yako wewe unakuja kuhalalishwa tu na kujibebea, kuongeza laana katika uzao wako.
Mahari for the purity nakubali, Ila kwa sisi tuliojiharibu, sioni mantiki hata kidogo.
π nakazia hii hoja!na huu ndio uhalisia hasa kama mtu ataleta msingi wa kimaandiko katika kudai Mahari...........
mahari kwa binti ambae ni used hapana, sio sahihi ila ndio hivyo maisha yalivyo!
Wanawake wao wenyewe ndiyo chanzo cha kutolewa bikra zao kabla ya ndoa.Mbona mahari zinazopangwa ni za kawaida kabisa.
Wanaume wenyewe ndiyo wasatoaji wazuri wa hizo bikra za wanawake.
Zamani wanaume walikuwa watulivu.
wakulungwa πππππBinti kanyonya Mic za Wakulungwa Mbalimbali alafu unasikia Mahari 2Ml.
tafsiri ya mahari ni shukrani kwa wazazi wa binti kwa kumtunza binti yao vizuri, sasa kama binti hajatunzwa vizuri (sio bikra) unataka shukrani ya nini?
Saint Anne
.Saint Anne hivi unaelewa kwanini Mungu aliiweka bikra kwa mwanamke? au unaelewa kwanini Yesu alikaa kwenye tumbo la bikra?....... kama wewe ni mfuasi wa Kristo then unajua!
btw, mimi haya mambo ya bikra huwa sipendi kuyajadili sana,,,,,,........
Thanks for the Tip! πͺπΎMkuu, katika Uislam mahari anatolewa mwanamke yeyote anayeolewa(awe bikra au sio bikra). Katika Uislam hakuna ndoa bila mahari.
ΩΨ’ ΨͺΩΨ§ Ψ§ΩΩΨ³Ψ§Ψ‘ Ψ΅Ψ―ΩΨ§ΨͺΩΩ ΩΨΩΨ©
βNa wapeni wanawake mahari yaoβ¦β (An-Nisaa: 4)
Na Akasema tena Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) katika Surat Al-Ahzaab:
ΩΨ§ Ψ£ΩΩΨ§ Ψ§ΩΩΨ¨Ω Ψ₯ΩΨ§ Ψ£ΨΩΩΩΨ§ ΩΩ Ψ£Ψ²ΩΨ§Ψ¬Ω Ψ§ΩΩΨ§ΨͺΩ Ψ’ΨͺΩΨͺ Ψ£Ψ¬ΩΨ±ΩΩ
βEwe Nabii! Tumekuhalalishia wake zako uliowapa mahari yaoβ¦β (Al-Ahzaab: 50)
Na Akasema vile vile katika Surat An-Nisaa:
ΩΩ Ψ§ Ψ§Ψ³ΨͺΩ ΨͺΨΉΨͺΩ Ψ¨Ω Ω ΩΩΩ ΩΨ’ΨͺΩΩΩ Ψ£Ψ¬ΩΨ±ΩΩ ΩΨ±ΩΨΆΨ©
β β¦ basi wale mnaowaoa miongoni mwao wapeni mahari yao yaliyolazimishwaβ¦β (An-Nisaa: 24)
Hizo aya nimezinakili kutoka Alhidaaya.com
mimi siku ikitokea nimeoa ntaoa binti mdogo bikra wa miaka 15 maana sheria inaruhusu na pesa nazo za kutosha.akiwa bikra fresh kabisa natoa mahari kiroho safiBinti kanyonya Mic za Wakulungwa Mbalimbali alafu unasikia Mahari 2Ml.
Mbali na Quran, ni vyema pia muislam apite kwenye Torati ya Musa, Injili ya Isa bin mariamu na Zaburi ya Daudi.Mkuu, Waislam tunafuata Sharia aliyokuja nayo Mtume Muhammad (Swalla Allahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam). Tunafuata Qur'an na Sunnah. Tokea alipokuja Mtume Muhammad kwa ajili ya walimwengu wote, wote tunatakiwa kufuata aliyoteremshiwa
Tukiyafwata pia maandiko basi Hakuna mwanaume anayestahili kuoa.Wanawake wao wenyewe ndiyo chanzo cha kutolewa bikra zao kabla ya ndoa.
Zamani wanawake walikuwa watulivu zaidi. Walikaa nyumbani kutunza bikra zao wakisubiri mwanaume wa kuwaoa.
Na zamani pia, mwanamke akishaolewa anakuwa mtiifu na anafuata kanuni, misingi na sheria anazoambiwa na mume wake (wife should be submissive), Anachokisema mume ndiyo kinafuatwa na mke!
Tukirejea kwenye Maandiko, zamani hata kwenye Sensa tu Wanawake walikuwa hawahesabiwi.
Kwa kifupi Karne hii ya 21 kama tukirudi Kiutaratibu na Tuishi kama Maandiko yanavyotaka, basi Wanawake wenyewe Mtaandamana na Mtaomba tena turudi tuishi kwa utaratibu kama Karne ya 21 tuliyonayo sasa.
Nachoweza kusema ni kwamba BE CAREFUL WITH WHAT YOU WISH FOR. Mahari kwenye Maandiko ya Kidini ilitolewa kwa msichana kigori kama heshima na shukrani kwa wazazi.
ila Kimila mahari imekuwa kama kumnunua msichana vile. Hapo utaagizwa ulete makorokoro kibao[emoji3] .
Note:- ninapoandika "Maandiko" namaanisha Miongozo ya Kidini za Abrahamic Religions (Judaism/Jews, Christianity & Islam)
[emoji1787][emoji1787]Kumbe nawewe hua unaongea point..naonaga unaparaganya na Cariha TU[emoji3][emoji3]
Nimekoma mie! ππΎππΎ najiandaa kuleta kwenu mahari! Nimeshapata akili ya kuishi na wewe πTukiyafwata pia maandiko basi Hakuna mwanaume anayestahili kuoa.
Kwa sababu NENO linawahimiza muishi na wake zenu kwa akili,Sasa nyie akili mnatoa wapi wakati hamna hizo akili??
"Aziniye na mwanamke hana akili kabisa"
Si maneno yangu hayo bali ni ya MUNGU katika Mithali.
Msitegemee kuvuna ngano wakati mlipanda kunde.
Tafuta yanayokufavor uje unipingeNimekoma mie! [emoji1487][emoji1487] najiandaa kuleta kwenu mahari! Nimeshapata akili ya kuishi na wewe [emoji3]
Haya Maandiko bana, everybody can exploit the scripture and interpret them to their own liking and advantage, Obviously everybody can find the lines to support their own claims in the scripture. Interpretation zipo tofauti kati ya mtu na mtu hivyo ni wazi kila mtu akiamua tu basi atapata mstari wa kuu-exploit ili kusapoti point yake kwa kutumia maandiko hayo hayo.
Wanaume wa zamani kama akina Samsoni vile wenye akili zao au sioTafuta yanayokufavor uje unipinge
Haina shida kabisa...ila wanaume wa zamani walikuwa na akili..hawakuwa wajinga Kama wa Sasa.
Ko walideserve tu.
Ujinga wa wanaume wa sasa ndio uliotengeneza mabinti tulionao Sasa
Na hao wanaokuambia habari za mke zaidi ya mmoja ,ni ndugu zetu waislam na kwa Imani Yao wapo sawa kabisa..walifwata msingi wa Ibram na Sarai...
Sarai kabla ya kuwa Sara alikuwa hapati watoto..
Sarai alimruhusu Ibram azae na Hajir mjakazi wake...akamzaa Ismail
Lakini baadaye ndo akaja kupata mtoto (Isaka) na Hajir akafukuzwa pale..
Lakini waislm wa Leo wanajiolea tu wake utadhani wanabubuna karanga..wanasomba tu bila kuzingatia utaratibu huo wa kuruhusiwa na wake zao
Mahari yako sitaki[emoji23][emoji23]
Sasa nyie wa sasahivi ni akina Samson tu,type sa SamsonWanaume wa zamani kama akina Samsoni vile wenye akili zao au sio
Tukirudi kwenye Mithali humo humo, je vipi kuhusu hili la mke, hebu pita Mithali 31:10-31 na 1petro 3:1-11Tukiyafwata pia maandiko basi Hakuna mwanaume anayestahili kuoa.
Kwa sababu NENO linawahimiza muishi na wake zenu kwa akili,Sasa nyie akili mnatoa wapi wakati hamna hizo akili??
"Aziniye na mwanamke hana akili kabisa"
Si maneno yangu hayo bali ni ya MUNGU katika Mithali.
Msitegemee kuvuna ngano wakati mlipanda kunde.
wanaume wa zamani wenye akili kama akina Daud vile, wapo tayari kuua mtu (tena mwanajeshi wake) ili warithi mke wa marehemu.Tafuta yanayokufavor uje unipinge
Haina shida kabisa...ila wanaume wa zamani walikuwa na akili..hawakuwa wajinga Kama wa Sasa.
Ko walideserve tu.
Ujinga wa wanaume wa sasa ndio uliotengeneza mabinti tulionao Sasa
Na hao wanaokuambia habari za mke zaidi ya mmoja nawaona tu wanavyobwabwaja hapa
Ndugu zetu waislam na kwa Imani Yao wapo sawa kabisa..walifwata msingi wa Ibram na Sarai...
Sarai kabla ya kuwa Sara alikuwa hapati watoto..
Sarai alimruhusu Ibram azae na Hajir mjakazi wake...akamzaa Ismail
Lakini baadaye ndo akaja kupata mtoto (Isaka) na Hajir akafukuzwa pale..
Lakini waislam wa Leo wanajiolea tu wake utadhani wanabubuna karanga..wanasomba tu bila kuzingatia utaratibu huo wa kuruhusiwa na wake zao
Mahari yako sitaki[emoji23][emoji23]
Mithali inaongelea mke mwemaTukirudi kwenye Mithali humo humo, je vipi kuhusu hili la mke, hebu pita Mithali 31:10-31 na 1petro 3:1-11
Ngoja nikurahisishiewanaume wa zamani kwenye akili kama akina Daud vile, wapo tayari kuua mtu (tena mwanajeshi wake) ili warithi mke wa marehemu.