Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Sema tu wasikubali kuolewa na sie ambao hatuna pesa kuliko kuzunguka zunguka ila me napenda sana akili za wanawake wa sasa hiv hasa hawa below 30 yaan unakuta ana mtu wake wakumpa pesa na nk lakin bado mnakuwa na watu personal kama sie ambao hata kutamka neno ndoa kwa bahati mbaya haijawai tokea
Me nashauri tu endeleeni na moyo huo huo haiwezekan pesa tukose na pisi kali tushindwe kula mchongo
 
na huu ndio uhalisia hasa kama mtu ataleta msingi wa kimaandiko katika kudai Mahari...........

mahari kwa binti ambae ni used hapana, sio sahihi ila ndio hivyo maisha yalivyo!
Unaweza kunipa maandiko yanayosema kuwa mahari kwa binti used hapana na si sahihi?
Kama hapana tufanyeje sasa?, Je, tuoe bure ama kwa makubaliano yapi?
 
[emoji122]
 
Sawa
 
Mwanaume kulipiwa Mahal na wazaz wake iyo Sheria ktk dini ya kiisilamu kwmb mke wa kwnz kijana wako inabd umuoleee ijapokuwa wazaz weng wa kileo hawafuat
 
Hii ndio hoja ya msingi.! Hivi suala la kushindwa kulipa mahari ni suala la Ajabu ??
Mathalani; Kijana wa kiume unaambiwa ulipe 2M kama mahali na uwezo wako wa kulipa mahali ni 500k unazani huyu mtu mwenye 500k atakuwa ameshindwa kulipa mahari au amefanywa ashinde kulipa mahari.
Ushuri wangu; Wazazi waache kuweka mahari kubwa au kupanga mahali badala yake mahali ipangwe na anayeolewa basi. Akipanga anayeolewa naamini atakuwa anafahamu hali ya uchumi wa Mpenzi wake na hivyo hata mahari itayoombwa pale itakuwa ile ipo kwenye uwezo wake.
 
Nakubaliana na wewe kabisa...
 
Nimeambatanisha hapo kusisitiza hoja, lakini pia manguli wengi wa bibliani hawakuwa na mke mmoja, sijui unatushauri vipi Mtakatifu Anne.View attachment 1595626
Hapo wameongelea wakati huoooo sijui ni lini ila kwa sasa tuliojitunza na kujua tunachotaka wala hatulilii ndoa znakuja zenyewe.
Endeleeni kufata maslay. Ndomana hamuoi etii wa kuoa hakuna kumbe hamjui kuchagua
 
Acha dharau wewe, mahari kitu gani ?, mahari ni dhiraa ambayo huridhiwa na watu tu, unapotaja gharama kubwa mpaka mtu anashindwa kulipwa hiyo inakuwa sio mahari bali biashara tena haramu
 
Acha dharau wewe, mahari kitu gani ?, mahari ni dhiraa ambayo huridhiwa na watu tu, unapotaja gharama kubwa mpaka mtu anashindwa kulipwa hiyo inakuwa sio mahari bali biashara tena haramu
Wapi kwenye Uzi nimeandika gharama kubwa??
Kafungue wako uandike kama unataka.
 
Wana wa ulimwengu wameamua kubadilika kwa kasi..... huku waoaji wanasema mahari sio issue, kule waolewaji wanasema ndoa kitu gani😎😎😎
 
Na kamwe usitoe mahari kwa mwanamke ambaye hujakuta Bikra.

Sijawahi kuona kwenye Biblia mtu akitolewa mahari bila ya Bikra.
 
Endeleeni kujitia ujinga.. mtajioa mwaka huu[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…