Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Haihusiani na mahari.
Mahari iko palepale halafu huo itakuwa changamoto ambazo kila ndoa ina changamoto yake.
Ndio maana nasema hivi tofauti yenu na wale wa kale ni kwamba wao waliwajibika zaidi katika ndoa. Ila nyie wajibu wa ndoa hamjui na ni wazembe...zamani watu walichepuka ili wapate watoto incase mke hazai ila sikuhizi watu wanachepuka ili wapate sex tu ambayo nayo kuipata ni kwa kuteseka sana mpaka mke ajiskie. Na hupigi zaidi ya bao 3!
 
Chuo umemaliza juzi tu hapa halafu unaleta ngonjera za ndoa. Unafikiri ndoa ni kama jasho eeh kwamba kila mtu linamtokaga tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilienda kujiendeleza.
Nipo kwenye ndoa mwaka wa 10 huu

Sasa kama ndoa ni jasho basi Mimi lilishanitoka.
 
Kadanganye watoto wenzio basi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kutoamini.

Mungu tu muumba mbingu na nchi na vyote viijazavyo dunia ,Kuna watu hatamuamini kabisa,japo ni Yeye aliyewaumba..
Sembuse mimi Anne?
 
Ndio maana nasema hivi tofauti yenu na wale wa kale ni kwamba wao waliwajibika zaidi katika ndoa. Ila nyie wajibu wa ndoa hamjui na ni wazembe...zamani watu walichepuka ili wapate watoto incase mke hazai ila sikuhizi watu wanachepuka ili wapate sex tu ambayo nayo kuipata ni kwa kuteseka sana mpaka mke ajiskie. Na hupigi zaidi ya bao 3!
Kuchepuka ni ujinga tu waliojibatiza watu
 
Kweli kabisa, ndoa bila mahari haina heshima ni dharau tu.
kuna binti alipewa mimba na jamaa,wazazi wa binti walimpeleka binti kwa jamaa kinguvu,jamaa hamkumkataa alimpokea,wazazi wa binti baada ya kuona jamaa amempokea anaishi naye,wakaanzisha varangati la kupelekewa posa,jamaa akawapelekea posa,wakampa majibu ya posa siku hiyo hiyo,aliyopeleka posa,walimpiga mahari 3m .jamaa akailipa cash bila kubakiza.hiyo mahari alitafsiri kuwa amekomelewa.hivyo jamaa hakuwa tayari kuhudhuria misiba,harusi wala shughuli zozote zinayoihusu familia ya mwanamke.ila alimpa ruhusa binti ya kwenda kwao kuwaona wazazi wake na kushiriki mambo ya kifamilia.hiyo hali ilimtesa sana binti,akamwambia jamaa kama huwezi kushirikiana na familia yangu basi usinioe.jamaa akamrudisha kwao binti akiwa na ujauzito wa miezi 8,sasa hivi wazazi wa binti wanamuomba radhi jamaa awasamehe kwa yote waliyomtendea,arudishe moyo nyuma na kumuoa binti yao ukiangalia mahari ameshalipa yote.jamaa amekataa na sasa yupo kwenye mchakato wa kupeleka mahari kwengine aoe.binti amejifungua na jamaa anatuma huduma kama zote.ila tamaa za wazazi kutaka pesa nyingi za mahari zimemuharibia binti yao na kumfanya awe single mother sasa
 
Dada, Waislam tunaoa mke zaidi ya mmoja kwa kuifuata Qur an na Sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia sio kwa kufuata huo msingi ulioutoa. Sasa katika Uislam (Qur an na Sunnah), huo utaratibu wa kuruhusiwa na mke ili kuongeza mke mwengine tunaupata wapi?
alaf inabidi ajue kuwa huwa hatuombi ruhusa kuoa mke wa pil au watat ila tunawapa taarifa tu..!!
 
Hii ndio hoja ya msingi.! Hivi suala la kushindwa kulipa mahari ni suala la Ajabu ??
Mathalani; Kijana wa kiume unaambiwa ulipe 2M kama mahali na uwezo wako wa kulipa mahali ni 500k unazani huyu mtu mwenye 500k atakuwa ameshindwa kulipa mahari au amefanywa ashinde kulipa mahari.
Ushuri wangu; Wazazi waache kuweka mahari kubwa au kupanga mahali badala yake mahali ipangwe na anayeolewa basi. Akipanga anayeolewa naamini atakuwa anafahamu hali ya uchumi wa Mpenzi wake na hivyo hata mahari itayoombwa pale itakuwa ile ipo kwenye uwezo wake.

Waislam mahari inapangwa na anaeolewa sio baba au mama
 
kuna binti alipewa mimba na jamaa,wazazi wa binti walimpeleka binti kwa jamaa kinguvu,jamaa hamkumkataa alimpokea,wazazi wa binti baada ya kuona jamaa amempokea anaishi naye,wakaanzisha varangati la kupelekewa posa,jamaa akawapelekea posa,wakampa majibu ya posa siku hiyo hiyo,aliyopeleka posa,walimpiga mahari 3m .jamaa akailipa cash bila kubakiza.hiyo mahari alitafsiri kuwa amekomelewa.hivyo jamaa hakuwa tayari kuhudhuria misiba,harusi wala shughuli zozote zinayoihusu familia ya mwanamke.ila alimpa ruhusa binti ya kwenda kwao kuwaona wazazi wake na kushiriki mambo ya kifamilia.hiyo hali ilimtesa sana binti,akamwambia jamaa kama huwezi kushirikiana na familia yangu basi usinioe.jamaa akamrudisha kwao binti akiwa na ujauzito wa miezi 8,sasa hivi wazazi wa binti wanamuomba radhi jamaa awasamehe kwa yote waliyomtendea,arudishe moyo nyuma na kumuoa binti yao ukiangalia mahari ameshalipa yote.jamaa amekataa na sasa yupo kwenye mchakato wa kupeleka mahari kwengine aoe.binti amejifungua na jamaa anatuma huduma kama zote.ila tamaa za wazazi kutaka pesa nyingi za mahari zimemuharibia binti yao na kumfanya awe single mother sasa
Kutoza mahari kama kumkomoa mtu sio mahari ni yeyote cha muhimu ni maridhiano, watu wameolewa kwa mahari yakawaida lakini ndoa imara, waliolewa mahari ndoa hazieleweki
 
Back
Top Bottom