Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari


Mimi sikuzini na mke wangu pale aliponambia ni Bikra,
Lakini huwezi nambie nisizini wakati gia box imeshuka miaka nenda rudi.
 
Sio hivyo tu hata asieweza kukupa hela wakati wa mahusiano yani anasubiri mpaka umuombe ww nae usiolewe nae
Majukumu yote kwa mtu wa namna hii ukifika kwenye ndoa utayafanya pekeako
 
Sio hivyo tu hata asieweza kukupa hela wakati wa mahusiano yani anasubiri mpaka umuombe ww nae usiolewe nae
Majukumu yote kwa mtu wa namna hii ukifika kwenye ndoa utayafanya pekeako
Heheh we huwezi kutafuta hela itakuwa. Nyie ndio mnaogeuza mahusiano ajira 😝😝😝!!! Unaomba omba hela mpaka unachokwa mapema tu.
 
Heheh we huwezi kutafuta hela itakuwa. Nyie ndio mnaogeuza mahusiano ajira [emoji13][emoji13][emoji13]!!! Unaomba omba hela mpaka unachokwa mapema tu.
Nahisi kama maelezo yangu hujayaelewa mzee "mimi hua siombi nasubiri unipe ww mwenyewe as caring ujiongeze ww mwenyewe ujue kwamba nina mahitaj as mtu wako ni wajibu taking of me
Nikiona hujiongezi nakueka alama nyekundu heeeheiyaaa
 
Ww dada usijidanganye hayo ni maelewano na makubaliano kati ya watu wawili waliopo kwenye mapenzi wengine hayawahusu.
Unaweza ukalipiww mahari na harusi ya mamilioni na hiyo ndoa isidumu mkaachana tu na unaweza kukuta wanaoishi tu bila ndoa ndio wanapendana kweli na kudumu. Mapenzi ni kama singeli kila mtu hucheza vile mrindimo ulivyomuingia, mapenzi hayana mtaalamu wa ushauri na wala hayana formula.

NB: Halafu kwnn wanawake wakiafrika mnajichukulia kama bidhaa, ulipiwe mahari kwani ni unanunuliwa kama bidhaa? Sasa hapo unakuwa na tofauti gani na bidhaa inayonunuliwa dukani? Bora basi hata ungekuwa bikra atleast ingeleta hata maana kidogo, lakini unakuta huyo mtu anayetolewa mahari huko nyuma ana kundi kubwa la wanaume aliopita nao na mbaya zaidi unakuta wengine bado ana uhusiano nao kwa siri.
Bora tu hizo mahari wangesema tu iwe special kwa wanawake mabikra basi na sio hawa wengine, ijapokuwa inashusha utu wa mwanamke!!!
 
Tafuta mahari
Acha kulialia.
 
Sio hivyo tu hata asieweza kukupa hela wakati wa mahusiano yani anasubiri mpaka umuombe ww nae usiolewe nae
Majukumu yote kwa mtu wa namna hii ukifika kwenye ndoa utayafanya pekeako
Kabisa
 
Uchaggani huku..
Sidhani
Mahari unayopeleka kwa mwanamke haifikii japo punje ya gharama ambazo wazazi wanatumia kumlea binti..ndiyo maana tunaita ni kama Asante tu kwa wazazi.

Mimi mwanaume akileta mahari akidhani eti ni source ya income kwa wazazi wangu basi Atakuwa si mzima..mahari yake haigusi hata kidogo japo gharama ya ada waliyotumia kulipa kwa mwaka mmoja tu!
Yaani mtu alete blanket na jembe na kijihela kidogo tu halafu aseme eti ni source of income!!
 
Kwa Hali hiyo walala hoi kazi tunayo[emoji849]
Yaani kupeleka blanket na jembe,vitenge na hela kidogo ndio useme walala hoi kazi tunayo??kwamba unataka upeleke nini?au unataka uoe bure?
 
Sasa mwanamke hukumkuta bikra unalipa mahali ya nini kama sio upuuzi tu! Yaani bikra atoe mwingine mahali nilipe mie si uzwazwa huo rafki angu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…