Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
- Thread starter
-
- #721
Bahati nzuri huwezi kunitisha kwa lolote nikatishika.endelea kua jeuri, izo mahari mtazisikia kwenye bomba, tunaoa bikra tu
Kichwani kwako kuna kitu hakiko sawa unajaribu kupambana nacho ...lakini huwez badili uhalisia ...Kila nyuzi comments zako zinajieleza physicologically hauko sawa
uyo bibie anataka kukojoa uku amesimama, ajabuKichwani kwako kuna kitu hakiko sawa unajaribu kupambana nacho ...lakini huwez badili uhalisia ...Kila nyuzi comments zako zinajieleza physicologically hauko sawa
Namuona anapambana na vitu ambavyo haviwezekani ...Akapimwe ...hayuko sawauyo bibie anataka kukojoa uku amesimama, ajabu
Kichwani kwako kuna kitu hakiko sawa unajaribu kupambana nacho ...lakini huwez badili uhalisia ...Kila nyuzi comments zako zinajieleza physicologically hauko sawa
uyo bibie anataka kukojoa uku amesimama, ajabu
Oh sawasawa wapiga ramli.Namuona anapambana na vitu ambavyo haviwezekani ...Akapimwe ...hayuko sawa
Dah! Hapa mwana umeuwa band [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijawahi kuona kwenye Biblia, mtu aliyelipa mahari ana mke mmoja.
Inashangaza Sana kama watu wamegeuza mahari kuwa chanzo Cha kipato.Kero: Mahari sasa yageuzwa chanzo cha kipato
Ni kijana wa Miaka 25, shahada ya Ualim, ila hakubahatika kupata ajira rasmi. Amejiajiri kwa kufungua twisheni za mitaani na kabahatika kupata mchumba ambae ni binti wa Miaka 21 ( Ila tayar ana mtoto wa Miaka 3). Amedumu kwenye mahusiano na binti kwa mwaka mmoja tangu Desemba 2020 na Sasa na...www.jamiiforums.com
Inasikitisha sanaInashangaza Sana kama watu wamegeuza mahari kuwa chanzo Cha kipato.
Lengo la mahari si hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu. Tumekusoma 🤓Kamwe usiolewe na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Sikuwahi kuona kwenye Biblia mwanaume aliyepewa mke bure.
Tena wengine mnajifanya kupenda sana, unalazimisha kuolewa na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Wengine mnaenda mbali zaidi na kuwasaidia kulipa hizo mahari.
Ukiona umemsaidia kulipa mahari usishangae na huko ndani akakuachia majukumu yote ya familia.
Kama unampenda msaidie mambo mengine lakini ikifika muda wa kulipa mahari hiyo ngoma mwache aicheze mwenyewe, ikimshinda basi huyo hakufai.
Kwanini hakufai?
Hakufai kwa sababu suala la kuoa siyo surprise ni suala la kujiandaa. Kama mchumba ameweza kununua mahitaji yake yote, atashindwaje kukulipia mahari!?
Binti nakwambia usije thubutu kujifanya unamsaidia mwanaume kulipa mahari, hilo ni lake. Ukimpa mahari ujue umejioa mwenyewe dada.
Na wale vijana mnaolipiwa mahari na wazazi wenu pia siwaelewi jamani. Usije ukashangaa mke anakuwa wa ukoo, wao ndiyo wanamcontrol na hauwezi kufanya jambo bila wao.
Na
Winnie Kilemo
🤣Sawa mkuu. Tumekusoma 🤓
Unaambiwa wahuni wanavijua vifungu vya baibo vinavyohusu mahari kuliko hata wachungaji na mapadri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inashangaza Sana kama watu wamegeuza mahari kuwa chanzo Cha kipato.
Lengo la mahari si hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani punguzeni moto, mtamuua Winnie Kilemo...Winnie Kilemo kuna vitu huwa anaandika huko facebook hadi namwonea huruma, wakati flani namwona kama mtu aliyekaa kwenye wokovu miaka mingi ila ni mchanga kwenye mambo ya kiroho (kifalme)
mi nadhani angeaza kwa kushauri wazazi kutopanga mahari kubwa sana , au angeshauri mabinti wanaoposwa wawambie wazazi wao kwamba mtarajiwa wangu hana uwezo kwaio msipange mahari kubwa!
Anyway, ukitumia biblia, anaetakiwa kulipiwa mahari ni binti kigori tu. ndivyo torati inavyoeleza. ukikuta sio kigori warudishie wenye mtoto nao warudishe mahari!
Wakulungwa ama sio..Binti kanyonya Mic za Wakulungwa Mbalimbali alafu unasikia Mahari 2Ml.
Mkuu kwa hili bandiko wakubaliana nami kuwa hakuna kitu kinaitwa 50-50 aka feminism kwenye ndoa.Kamwe usiolewe na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Sikuwahi kuona kwenye Biblia mwanaume aliyepewa mke bure.