Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Inashangaza Sana kama watu wamegeuza mahari kuwa chanzo Cha kipato.
Lengo la mahari si hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamwe usiolewe na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Sikuwahi kuona kwenye Biblia mwanaume aliyepewa mke bure.

Tena wengine mnajifanya kupenda sana, unalazimisha kuolewa na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Wengine mnaenda mbali zaidi na kuwasaidia kulipa hizo mahari.

Ukiona umemsaidia kulipa mahari usishangae na huko ndani akakuachia majukumu yote ya familia.

Kama unampenda msaidie mambo mengine lakini ikifika muda wa kulipa mahari hiyo ngoma mwache aicheze mwenyewe, ikimshinda basi huyo hakufai.

Kwanini hakufai?

Hakufai kwa sababu suala la kuoa siyo surprise ni suala la kujiandaa. Kama mchumba ameweza kununua mahitaji yake yote, atashindwaje kukulipia mahari!?

Binti nakwambia usije thubutu kujifanya unamsaidia mwanaume kulipa mahari, hilo ni lake. Ukimpa mahari ujue umejioa mwenyewe dada.

Na wale vijana mnaolipiwa mahari na wazazi wenu pia siwaelewi jamani. Usije ukashangaa mke anakuwa wa ukoo, wao ndiyo wanamcontrol na hauwezi kufanya jambo bila wao.

Na
Winnie Kilemo
Sawa mkuu. Tumekusoma 🤓
 
Inashangaza Sana kama watu wamegeuza mahari kuwa chanzo Cha kipato.
Lengo la mahari si hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaambiwa wahuni wanavijua vifungu vya baibo vinavyohusu mahari kuliko hata wachungaji na mapadri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20220105_182948.jpg
 
Winnie Kilemo kuna vitu huwa anaandika huko facebook hadi namwonea huruma, wakati flani namwona kama mtu aliyekaa kwenye wokovu miaka mingi ila ni mchanga kwenye mambo ya kiroho (kifalme)

mi nadhani angeaza kwa kushauri wazazi kutopanga mahari kubwa sana , au angeshauri mabinti wanaoposwa wawambie wazazi wao kwamba mtarajiwa wangu hana uwezo kwaio msipange mahari kubwa!

Anyway, ukitumia biblia, anaetakiwa kulipiwa mahari ni binti kigori tu. ndivyo torati inavyoeleza. ukikuta sio kigori warudishie wenye mtoto nao warudishe mahari!
Jamani punguzeni moto, mtamuua Winnie Kilemo...
 
Nyau tu wewe,
Baba alinilipia mahari,
Nikiwa naanza kazi kama mwl,
Sasa heshima iliyopo home kwetu pia maisha ninayompa mke wangu,
Ukwen Wanataman kuniongeza mke mwingine
 
Kamwe usiolewe na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Sikuwahi kuona kwenye Biblia mwanaume aliyepewa mke bure.

Tena wengine mnajifanya kupenda sana, unalazimisha kuolewa na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Wengine mnaenda mbali zaidi na kuwasaidia kulipa hizo mahari.

Ukiona umemsaidia kulipa mahari usishangae na huko ndani akakuachia majukumu yote ya familia.

Kama unampenda msaidie mambo mengine lakini ikifika muda wa kulipa mahari hiyo ngoma mwache aicheze mwenyewe, ikimshinda basi huyo hakufai.

Kwanini hakufai?

Hakufai kwa sababu suala la kuoa siyo surprise ni suala la kujiandaa. Kama mchumba ameweza kununua mahitaji yake yote, atashindwaje kukulipia mahari!?

Binti nakwambia usije thubutu kujifanya unamsaidia mwanaume kulipa mahari, hilo ni lake. Ukimpa mahari ujue umejioa mwenyewe dada.

Na wale vijana mnaolipiwa mahari na wazazi wenu pia siwaelewi jamani. Usije ukashangaa mke anakuwa wa ukoo, wao ndiyo wanamcontrol na hauwezi kufanya jambo bila wao.

Na
Winnie Kilemo
Mkuu kwa hili bandiko wakubaliana nami kuwa hakuna kitu kinaitwa 50-50 aka feminism kwenye ndoa.
Kuhusu mahari, ni wajibu wa baba yangu kunilipia ila hawajibiki kwa chochote yeye na ukoo wake kuamua namna ya kuishi nae au kum-program
 
Back
Top Bottom