dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,906
- 8,243
dah unauliza kwamba hujui?........Huo u used umesababishwa na nini?
tazama, dunia hii hii, na nchi hii hii, na jamii hii hii, kuna mabinti wamejitunza na wakavuka kwa kishindo. do you think hao ambao hawajavuka salama wana any excuse?
kusema vijana/wanaume ndio wanawaharibu mabinti sio excuse ya binti kukubali kutumika!.....
ushauri wangu, kama umejitunza keep it, ukimsubiri mmeo, kama hujajitunza you better repent (God is faithfull will forgive you), then unamsubiri mmeo!.......