Kamwe usiruhusu Mtoto wako awe Mshabiki wa Simba na Yanga. Atakuwa fala

Kamwe usiruhusu Mtoto wako awe Mshabiki wa Simba na Yanga. Atakuwa fala

Halafu ety kuna watu wazima wanalia hizo timu zikifungwa 😂 aisee wagonjwa wa akili ni wengi mno mtaani
 
Unamjua GSM au Kikwete? Hao ni mashabiki wakubwa wa soka, hemu elezea andiko lako zaidi!!!
Ulishawahi kuwaona wakilialia au kufanya upuuzi unaofanywa na mashabiki wenzao wa hizo timu? Sasa jiulize kwann haujawahi kuwaona kwenye stage hy
 
Back
Top Bottom