Uchaguzi 2020 Kamwe Watanzania hatutakubali ya Jecha, Lakini....!!

paul sylvester

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2020
Posts
3,503
Reaction score
3,499
NDIYO, hatutakubali yaliyofanyika kipindi kile cha uchaguzi na Zanzibar ya Jecha

Kwa mjibu wa kanuni za maadili na Sheria za uchaguzi, zinavitaka Vyama Vyote vinavyotoa wagombea Kwa ajili ya kupeperusha bendera za vyama vyao kuomba kuchaguliwa na wananchi katika Nyanja mbalimbali za kiuongozi, Kujaza fomu za kanuni za madili ya uchaguzi kupitia wenyeviti wa Vyama vyao

Maana yake ni nini,
Kwa mjibu wa kanuni hizo, lolote litakalotokea Kwa kusababishwa na mgombea wake, Chama ndio kitaweza kuwajibika katika pande zote kusheria, kabla ya Chama kumwajibisha mgombea wake, Tume itatoa maonyo Kwa mhusika, ikitokea mhusika atapuuza maonyo hayo, basi Vyombo vya ulinzi vinavyohusika na usalama wa raia kitaweza kuchukua utaratibu wake wa kumwita mhusika kujieleza ni Kwa nini anavunja kanuni za uchaguzi na miongozo iliyotolewa na Tume

Chama pia kinawajibu wa kumwajibisha mgombea huyo, ama Chama chenyewe kuwajibishwa na Tume ya uchaguzi au msajili wa vyama Kwa mjibu wa sheria zilizopo

Lakini pia, wagombea wote hutakiwa Kujaza fomu hizo Kwa mjibu wa Sheria na kanuni na madili ya uchaguzi, ili wawapo mahali popote waweze kuzingatia miongozo hiyo,

Mfano mdogo wa kanuni inayovunjwa na ukiachwa huo uvunjifu wa Sheria hiyo inaweza kuhatarisha Amani na pengine uhai wa watu,

Kanuni inayowataka wagombea kuzingatia muda wa kuanza Kampeni na hitimisho lake, sheria inataka, mikutano itaanza saa 2 Asubuhi Hadi saa 12 jioni, kanuni hii wagombea hawaiheshimu hata kidogo, Wapo wanaofanya mikutano Yao Hadi wanawashiana tochi usiku,

Sasa hii, ni kutaka kutafuta Lawama Kwa walinda Amani na kutaka kujiingiza kwenye kuhatarisha maisha ya kiongozi husika

Na Kinachoendelea Kwa Mgombea Uraisi Chama cha Chadema, ni ukaidi tu usipokuwa na maana yoyote, kwani Jeshi la police linalouwezo wa kukiandikia Chama chochote kupitia M/kiti wa hicho Chama kuhusu mwito wa mgombea nafasi yoyote ile, ikizingatiwa kuwa, Chama ndio kinachobeba dhamana ya mtu husika

Kwa kifupi ni kwamba, viongozi wetu wagombea, wawe wa Kwanza kuzisimamia sheria hizo

Hatutaki
ya Ki Jecha, Ila kama kuna shida ambazo zinajitokeza hadharani za uvunjifu wa miongozo ya uchaguzi, ni vyema sasa Tume ikasimamisha Kampeni zote ili kuwepo makubaliano na uchaguzi kusogezwa Mbele, hii ni Kwa manufaa ya Taifa letu huku tukiahakikisha swala la Amani linazidi kutamalaki na tunakuwa na mwisho mwema

Amani Kwanza...... Na baada ya uchaguzi kuna maisha yataendelea
 
Wanafuta uzi wako sasa hivi, jamaa hawataki challenge kabisa halafu wanajiita intelligent, unajiita intelligent huku ukizuia maoni ya wengine na kuruhusu yako tu? Ukitaka kupima intelligence yako ruhusu pia upande mwingine, ...
 
Wanafuta uzi wako sasa hivi, jamaa hawataki challenge kabisa halafu wanjiita intelligent, unajiita intelligent huku ukizuia maoni ya wengine na luruhusu yako tu?
Haahaaa, wanaogopa siyo?
 
The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections stretching back 25 years has made it a model on the continent.

The United States government reaffirms unequivocally that it does not support any specific candidate or party in Tanzania’s upcoming elections. The United States supports the democratic process itself. We support a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process, before, during, and after election day. This includes ensuring the safety of all contestants, respect for the rule of law, and the absolute impartiality of the authorities in charge of managing the elections.

The United States, along with other democratic nations, will be paying close attention to actions of individuals who interfere in the democratic process or instigate violence against the civilian population before, during, or after the elections. We will not hesitate to consider consequences for those found to be responsible for election-related violence or undermining the democratic process.

We welcome the calls by the leading candidates for a peaceful and transparent electoral process, and we urge them and their supporters to take measures to decrease tensions and avoid inciteful rhetoric.

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 1 October, 2020 | Topics: Press Releases
 
He has only 20 years to be the guardian of this World, After that, China will be carrying that power
 
Wanafuta uzi wako sasa hivi, jamaa hawataki challenge kabisa halafu wanajiita intelligent, unajiita intelligent huku ukizuia maoni ya wengine na kuruhusu yako tu? Ukitaka kupima intelligence yako ruhusu pia upande mwingine, ...

Hapo ni kama unamsema Magufuli na ccm. Chaguzi zilizopita tulikuwa tunaona midahalo na mijadala mbalimbali hasa wakati wa kampeni. Je sasa hivi toka ameingia Magufuli madarakani, umewahi kuona mjadala au mdahalo wowote kwenye media ukiacha social media ulio balanced? Yote ni kwa sababu rais aliyeko madarakani hayuko tayari kwa challenge, na kama huamini mshauri aende kwenye mdahalo.
 
Kwa Msaada wa watu wa Marekani.......hehe yani watu wanataka hadi kupiganiwa na watu wa Marekani kwa shida zao wenyewe

Tena hao wamarekani ikitokea kweli wakaingilia tutawaunga mkono kwa 100%. Hivi sasa taasisi zote za kimamlaka zinatii amri za ccm, na nafasi ya mpinzani kutendewa haki ni ndogo ama haipo kabisa.
 
NDIYO, hatutakubali yaliyofanyika kipindi kile cha uchaguzi na Zanzibar ya Jecha

Kwa mjibu wa kanuni za maadili na Sheria za uchaguzi, zinavitaka Vyama Vyote vinavyotoa wagombea Kwa ajili ya kupeperusha bendera za vyama vyao kuomba kuchaguliwa na wananchi katika Nyanja mbalimbali za kiuongozi, Kujaza fomu za kanuni za madili ya uchaguzi kupitia wenyeviti wa Vyama vyao

Maana yake ni nini,
Kwa mjibu wa kanuni hizo, lolote litakalotokea Kwa kusababishwa na mgombea wake, Chama ndio kitaweza kuwajibika katika pande zote kusheria, kabla ya Chama kumwajibisha mgombea wake, Tume itatoa maonyo Kwa mhusika, ikitokea mhusika atapuuza maonyo hayo, basi Vyombo vya ulinzi vinavyohusika na usalama wa raia kitaweza kuchukua utaratibu wake wa kumwita mhusika kujieleza ni Kwa nini anavunja kanuni za uchaguzi na miongozo iliyotolewa na Tume

Chama pia kinawajibu wa kumwajibisha mgombea huyo, ama Chama chenyewe kuwajibishwa na Tume ya uchaguzi au msajili wa vyama Kwa mjibu wa sheria zilizopo

Lakini pia, wagombea wote hutakiwa Kujaza fomu hizo Kwa mjibu wa Sheria na kanuni na madili ya uchaguzi, ili wawapo mahali popote waweze kuzingatia miongozo hiyo,

Mfano mdogo wa kanuni inayovunjwa na ukiachwa huo uvunjifu wa Sheria hiyo inaweza kuhatarisha Amani na pengine uhai wa watu,

Kanuni inayowataka wagombea kuzingatia muda wa kuanza Kampeni na hitimisho lake, sheria inataka, mikutano itaanza saa 2 Asubuhi Hadi saa 12 jioni, kanuni hii wagombea hawaiheshimu hata kidogo, Wapo wanaofanya mikutano Yao Hadi wanawashiana tochi usiku,

Sasa hii, ni kutaka kutafuta Lawama Kwa walinda Amani na kutaka kujiingiza kwenye kuhatarisha maisha ya kiongozi husika

Na Kinachoendelea Kwa Mgombea Uraisi Chama cha Chadema, ni ukaidi tu usipokuwa na maana yoyote, kwani Jeshi la police linalouwezo wa kukiandikia Chama chochote kupitia M/kiti wa hicho Chama kuhusu mwito wa mgombea nafasi yoyote ile, ikizingatiwa kuwa, Chama ndio kinachobeba dhamana ya mtu husika

Kwa kifupi ni kwamba, viongozi wetu wagombea, wawe wa Kwanza kuzisimamia sheria hizo

Hatutaki
ya Ki Jecha, Ila kama kuna shida ambazo zinajitokeza hadharani za uvunjifu wa miongozo ya uchaguzi, ni vyema sasa Tume ikasimamisha Kampeni zote ili kuwepo makubaliano na uchaguzi kusogezwa Mbele, hii ni Kwa manufaa ya Taifa letu huku tukiahakikisha swala la Amani linazidi kutamalaki na tunakuwa na mwisho mwema

Amani Kwanza...... Na baada ya uchaguzi kuna maisha yataendelea

Hutaki ya Jecha, mbona umetoa mfano wa mbali hivyo, mwishoni mwaka mwaka jana uchaguzi wa SM ulinajisiwa ulichukua hatua gani? Hivi sasa 1/3 ya wagombea wa upinzani wameenguliwa kihuni, ni hatua gani ww au waliofanya uhuni huo wamechukuliwa?
 
NDIYO, hatutakubali yaliyofanyika kipindi kile cha uchaguzi na Zanzibar ya Jecha

Kwa mjibu wa kanuni za maadili na Sheria za uchaguzi, zinavitaka Vyama Vyote vinavyotoa wagombea Kwa ajili ya kupeperusha bendera za vyama vyao kuomba kuchaguliwa na wananchi katika Nyanja mbalimbali za kiuongozi, Kujaza fomu za kanuni za madili ya uchaguzi kupitia wenyeviti wa Vyama vyao

Maana yake ni nini,
Kwa mjibu wa kanuni hizo, lolote litakalotokea Kwa kusababishwa na mgombea wake, Chama ndio kitaweza kuwajibika katika pande zote kusheria, kabla ya Chama kumwajibisha mgombea wake, Tume itatoa maonyo Kwa mhusika, ikitokea mhusika atapuuza maonyo hayo, basi Vyombo vya ulinzi vinavyohusika na usalama wa raia kitaweza kuchukua utaratibu wake wa kumwita mhusika kujieleza ni Kwa nini anavunja kanuni za uchaguzi na miongozo iliyotolewa na Tume

Chama pia kinawajibu wa kumwajibisha mgombea huyo, ama Chama chenyewe kuwajibishwa na Tume ya uchaguzi au msajili wa vyama Kwa mjibu wa sheria zilizopo

Lakini pia, wagombea wote hutakiwa Kujaza fomu hizo Kwa mjibu wa Sheria na kanuni na madili ya uchaguzi, ili wawapo mahali popote waweze kuzingatia miongozo hiyo,

Mfano mdogo wa kanuni inayovunjwa na ukiachwa huo uvunjifu wa Sheria hiyo inaweza kuhatarisha Amani na pengine uhai wa watu,

Kanuni inayowataka wagombea kuzingatia muda wa kuanza Kampeni na hitimisho lake, sheria inataka, mikutano itaanza saa 2 Asubuhi Hadi saa 12 jioni, kanuni hii wagombea hawaiheshimu hata kidogo, Wapo wanaofanya mikutano Yao Hadi wanawashiana tochi usiku,

Sasa hii, ni kutaka kutafuta Lawama Kwa walinda Amani na kutaka kujiingiza kwenye kuhatarisha maisha ya kiongozi husika

Na Kinachoendelea Kwa Mgombea Uraisi Chama cha Chadema, ni ukaidi tu usipokuwa na maana yoyote, kwani Jeshi la police linalouwezo wa kukiandikia Chama chochote kupitia M/kiti wa hicho Chama kuhusu mwito wa mgombea nafasi yoyote ile, ikizingatiwa kuwa, Chama ndio kinachobeba dhamana ya mtu husika

Kwa kifupi ni kwamba, viongozi wetu wagombea, wawe wa Kwanza kuzisimamia sheria hizo

Hatutaki
ya Ki Jecha, Ila kama kuna shida ambazo zinajitokeza hadharani za uvunjifu wa miongozo ya uchaguzi, ni vyema sasa Tume ikasimamisha Kampeni zote ili kuwepo makubaliano na uchaguzi kusogezwa Mbele, hii ni Kwa manufaa ya Taifa letu huku tukiahakikisha swala la Amani linazidi kutamalaki na tunakuwa na mwisho mwema

Amani Kwanza...... Na baada ya uchaguzi kuna maisha yataendelea
Wewe umeona yale ya chadema tu, je hayo ya CCM je, be impartial
 
Yah na sie tutamuunga mkono mchina na Mrusi....kama ni vita ya 3 ya dunia basi itaanzia Tanzania

Mrusi alimaliza mahusiano na Tanzania enzi za Nyerere, na baada ya kuvunjika kwa USSR Mrusi ni kama alishindwa siasa za dunia, hasa bara la Afrika. Mchina, fuatilia vizuri baada ya Magufuli kuingia madarakani, ni kama wachina wamesitisha uwekezaji Tanzania, wachina waliopo ni wale wanaopewa tenda za ujenzi zaidi. Baada ya Magufuli kuzuia mradi wa bandari ya bagamoyo, na kuwanyima tender ya mradi wa SGR, ni kama vile Wachina wanatafakari mahusiano yao na Tanzania. In short, tuombe tu hao US wasiingilie mambo yetu, ila wakiamua hakuna nchi yoyote itatutea kwenye hilo.
 
Vipi Jiwe limekubali mdahalo akatolewe nishai? Trump mbona anahudhuria midahalo
Baada ya kunyukwa kwenye mdahalo wa kwanza Trump keshatangaza ana CORONA hivyo anaji Isolate kwa muda. Hii ni zama ya mawe yote kuwa kokoto. Na jiwe letu sisi halina ujasiri wa kukaa kwenye mdahalo maana hana hoja mpya wala uwezo wa kujenga hoja.
 
Mrusi alimaliza mahusiano na Tanzania enzi za Nyerere, na baada ya kuvunjika kwa USSR Mrusi ni kama alishindwa siasa za dunia, hasa bara la Afrika. Mchina, fuatilia vizuri baada ya Magufuli kuingia madarakani, ni kama wachina wamesitisha uwekezaji Tanzania, wachina waliopo ni wale wanaopewa tenda za ujenzi zaidi. Baada ya Magufuli kuzuia mradi wa bandari ya bagamoyo, na kuwanyima tender ya mradi wa SGR, ni kama vile Wachina wanatafakari mahusiano yao na Tanzania. In short, tuombe tu hao US wasiingilie mambo yetu, ila wakiamua hakuna nchi yoyote itatutea kwenye hilo.

Mtajua wenyewe mnaotegemea kuja kukombolewa na marekani
Screenshot_20201002-072300_Samsung Internet.jpg
138006451_15561590812581n.jpg
 
Back
Top Bottom