paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
NDIYO, hatutakubali yaliyofanyika kipindi kile cha uchaguzi na Zanzibar ya Jecha
Kwa mjibu wa kanuni za maadili na Sheria za uchaguzi, zinavitaka Vyama Vyote vinavyotoa wagombea Kwa ajili ya kupeperusha bendera za vyama vyao kuomba kuchaguliwa na wananchi katika Nyanja mbalimbali za kiuongozi, Kujaza fomu za kanuni za madili ya uchaguzi kupitia wenyeviti wa Vyama vyao
Maana yake ni nini,
Kwa mjibu wa kanuni hizo, lolote litakalotokea Kwa kusababishwa na mgombea wake, Chama ndio kitaweza kuwajibika katika pande zote kusheria, kabla ya Chama kumwajibisha mgombea wake, Tume itatoa maonyo Kwa mhusika, ikitokea mhusika atapuuza maonyo hayo, basi Vyombo vya ulinzi vinavyohusika na usalama wa raia kitaweza kuchukua utaratibu wake wa kumwita mhusika kujieleza ni Kwa nini anavunja kanuni za uchaguzi na miongozo iliyotolewa na Tume
Chama pia kinawajibu wa kumwajibisha mgombea huyo, ama Chama chenyewe kuwajibishwa na Tume ya uchaguzi au msajili wa vyama Kwa mjibu wa sheria zilizopo
Lakini pia, wagombea wote hutakiwa Kujaza fomu hizo Kwa mjibu wa Sheria na kanuni na madili ya uchaguzi, ili wawapo mahali popote waweze kuzingatia miongozo hiyo,
Mfano mdogo wa kanuni inayovunjwa na ukiachwa huo uvunjifu wa Sheria hiyo inaweza kuhatarisha Amani na pengine uhai wa watu,
Kanuni inayowataka wagombea kuzingatia muda wa kuanza Kampeni na hitimisho lake, sheria inataka, mikutano itaanza saa 2 Asubuhi Hadi saa 12 jioni, kanuni hii wagombea hawaiheshimu hata kidogo, Wapo wanaofanya mikutano Yao Hadi wanawashiana tochi usiku,
Sasa hii, ni kutaka kutafuta Lawama Kwa walinda Amani na kutaka kujiingiza kwenye kuhatarisha maisha ya kiongozi husika
Na Kinachoendelea Kwa Mgombea Uraisi Chama cha Chadema, ni ukaidi tu usipokuwa na maana yoyote, kwani Jeshi la police linalouwezo wa kukiandikia Chama chochote kupitia M/kiti wa hicho Chama kuhusu mwito wa mgombea nafasi yoyote ile, ikizingatiwa kuwa, Chama ndio kinachobeba dhamana ya mtu husika
Kwa kifupi ni kwamba, viongozi wetu wagombea, wawe wa Kwanza kuzisimamia sheria hizo
Hatutaki
ya Ki Jecha, Ila kama kuna shida ambazo zinajitokeza hadharani za uvunjifu wa miongozo ya uchaguzi, ni vyema sasa Tume ikasimamisha Kampeni zote ili kuwepo makubaliano na uchaguzi kusogezwa Mbele, hii ni Kwa manufaa ya Taifa letu huku tukiahakikisha swala la Amani linazidi kutamalaki na tunakuwa na mwisho mwema
Amani Kwanza...... Na baada ya uchaguzi kuna maisha yataendelea