TANZIA Kanali Fabian Massawe, aliyekuwa RC Kagera afariki dunia

TANZIA Kanali Fabian Massawe, aliyekuwa RC Kagera afariki dunia

Ameishi maisha mazuri na marefu vizuri hapa duniani. Akale starehe za Peponi pia kama itampendeza Mola, amina.
 
Ukisikia viongozi wenye "IMPACT"; wanaoacha alama za uongozi wao, huyu kwa hakika ni mmoja wapo.

Tuwe na utaratibu wa kuwaenzi na kuwatambua viongozi wa aina hii.

Nasema haya, kwa sababu nilikuwa simjui, ila nilimsikia mara kwa mara kwa mambo mazuri aliyokuwa akiyafanya.

Hawa ndio WAZALENDO wa taifa hili.

Tuwaenzi.
 
Rest in peace Col. Massawe. Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki.
 
Nimescreen shot nikamtumia mzee, alifanya nae kazi kwa muda mrefu sana
Muhimu sana watu wengi ambo hufiwa na marafiki wao wengi sana bila watu kujuwa huanza kupata matatizo ya moyo pressure kwa kuwaza rafiki zao walio tangulia!
Ni mbaya sana kuwaza jambo ambalo huwezi badilisha uhalisi wake!
 
Back
Top Bottom